Mchezo wa Bao. Msambaze mchezo huu wa jadi la Afrika Mashariki!

Nino

Member
Jun 21, 2007
38
1
Tawi la Uswisi la KIBA linafurahi sana kutangaza kwamba Mashindano ya Kimataifa ya Tano ya Mchezo wa Bao yatafanyiwa mjini La Tour de Peilz (Uswisi) kuanzia Novemba 10 hadi Novemba 11, 2012 (taz: Mashindano ya Bao 2012).

Kujiandikisha si lazima, lakini kungetusaidia sana kuandaa mahali pa kucheza.

Tunatarajia kukukutana kwenye mashindano mjini Tour de Peilz (Uswisi)!

Kwa maelezo zaidi andika kwa: info@kibao.org.

KIBA
Bao
 

Attachments

  • fbImg_0096.jpg
    fbImg_0096.jpg
    41.6 KB · Views: 38
Back
Top Bottom