Mcheza kwao hutuzwa

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
DSCN3788.JPG


DSCN3745.JPG

Edward na Regina Lowassa wakiwa pamoja na Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Orlando Magic,Dwight Howard wakati alipotembelea jimbo la Monduli leo na kutoa msaada wa kiasi cha 90m kwa ajili ya jenzi wa mabweni.



12.JPG


16.JPG

Wanyange wa Vodacom Miss Tanzania wakiwa jimbo la Monduli.
 
Asante babu, picha nzuri zinapendeza, nani aliwaalika hebu tupe kidogo basi wengine antena zetu hazija nasa
 
Hawa Vodacom Miss Tanzania walienda fanya nini sasa huko? Sioni uhusiano wao na hii event...
 
dscn3788.jpg


dscn3745.jpg

edward na regina lowassa wakiwa pamoja na mchezaji wa mpira wa kikapu wa orlando magic,dwight howard wakati alipotembelea jimbo la monduli leo na kutoa msaada wa kiasi cha 90m kwa ajili ya jenzi wa mabweni.



12.jpg


16.jpg

wanyange wa vodacom miss tanzania wakiwa jimbo la monduli.


hiyo picha ya tatu naona ni mwendo wa red bull tuu... Kweli watoto wame kariri.....
 
duu kitu noma lazima uzime watoto wametupia kati lubega za kimasai utafikiri wamezaliwa huko thanx to vodacom kwa kututunzia mashosti wetu..
 
wamependeza, sasa ndo nini kupeleka pesa nyingine huko huko kwa f.................. mbona kuna shule kibao zinahitaji msaada.
 
Back
Top Bottom