Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,886
Tuache uvivu wa kufuatilia mambo jamani..hili suala liko wazi mbona, zuma kamwalika Omari Bashir na hii inamaana moja tu, hakubaliani na tamko la mahakama ya kimataifa...kumbuka SA haikushikiwa BAKORA kusaini uanachama wa jumuiya hiyo. Sasa we huoni kama kayumba kwa kwenda kinyume. Unataka kutuambia kuwa vyombo vya habari vya nje vimedanganya suala hili au ndo tuseme kukurupuka kimtazamo??? Mi kwa mtazamo wangu kinachoendelea afrika na dunia ni lazima tufuatilie kwani inaweza kuleta athari kwetu pia, kumbuka Tanzania si kisiwa kiasi inyamazie masuala yanayoendelea kwa wenzetu.
Wewe acha long longo!
Juzi mbona Bashir alikuwa Doha kwenye Arab League Summit..na Ban Ki-Moon..mbona hamkumshikia bango Ban..ambaye ndo katibu mkuu wa UN asiende? UN inayopaswa kulinda hizo haki za binadamu mbona hamkuikalipia? Ok TZ ni signatory wa ICC..umefuatilia kauli za Membe?....ofcourse waafrika inabidi tujilaumu..wakati tunasaini hii mikataba tunawatuma akina Chitalilo..ambao hawaangalii implications zake in ten to twenty years..ahead...wenzetu wanafanya thorogh analysis..ndo maana US mpaka leo kakataa..Leo waafrika waliosaini huu mkataba ni 30! hawakujua kwamba wao ndo watakuwa clients wakubwa wa hii mahakama!
I personally support ICC..ikamate itupilie mbali haya majangili akina Bashir na wengineo..lakini ukweli ni kwamba ICC haiwezi kuwa muarobaini wa matatizo yetu. Kusema kwamba Zuma kamkaribisha Bashir kwenye inauguration..it may seem a breach of an international obligation towards ICC..lakini siku hizi hao hao vinara wakubwa ndo wanaongoza kwa kuvunja hiyo international law..ndo maana no body cares with international law anymore.ni sisi wenye njaa ndo tunalialia....leo ukiona vidume akina N. Korea au Iran wanajisimamia..kutengeneza Nuclear bombs...wanajua fika kabisa..wanaowashikia bango..wao ndo namba moja kuvunja hizo sheria..Ni unafiki na ubatili mtupu!