Mchele unapogeuka pumba................

kwa haya uliyokaaa nayo mapera na maapples na kwa hili movie nadhani yatatukwama,maji yenyewe ya kidebe:rain:

nina sim tank kubwa mwenzio....hayakwami mtu....l.o.l

mi sipo....movie yenyewe inaboa.....:hand:
 
Originally Posted by Michelle hivi kuna wanawake wanajitongozesha kwa wanaume waliolegea?? wa nini sasa?? just thinking loud....l.o.l

Namsuhuru Mungu Kiswahili nakijua tena kiswahili hasa nimezaliwa mwambao wa pwani R siweki L na L siweki R. Naweza nikasoma maneno mawili tu nikajua mtu anaelekea wapi naweza nikakuchambulia tungo ya ubeti mmoja siku nne. Bahati yako Mwalimu Mrimi Mnandi amekufa ningekuambia umtafute halafu umuulize habari zangu kuhusu kiswahili angekuambia.................. kwahiyo chukua tahadhari na tuishi kwa amani.

Shukrani.

:blah::blah::blah::rain:
 
wewe nimekutukana saa ngapi? na nimekutukanaje? usianze usichoweza kukimaliza tafadhali.....siko JF kutukana bila sababu....nimekuuliza swali,kama huwezi jibu unasema....acha kujishtukia na kusingizia wenzio....loh......!!!!!!!!!!.....nachangia thread yeyote tu nayojisikia.....

Uungwana ni heshima Mungu analiridhia
Kisiingie kuchangia Bila ya kujikagua
Ulimi uulize mema Sio kujiropokea

Yangu ninayoyasema Mwisho nimefikilia
Sikieni muadhama ukeapo kosoa
Tusitafute hasama Mchawi kumjua
Kaditama nimefika sitatia langu neno........
 
nina sim tank kubwa mwenzio....hayakwami mtu....l.o.l

mi sipo....movie yenyewe inaboa.....:hand:

mh heri yako unasim tank mie jirani zangu watalikojolea,basi naogopa kukaa karibu na vyakula vinavyokwama,usikimbie bwana movie itaisha vizuri tu:rain:
 
:blah::blah::blah::rain:

Uungwana ni heshima Mungu analiridhia
Kisiingie kuchangia Bila ya kujikagua
Ulimi uulize mema Sio kujiropokea

Yangu ninayoyasema Mwisho nimefikilia
Sikieni muadhama ukeapo kosoa
Tusitafute hasama Mchawi kumjua
Kaditama nimefika sitatia langu neno........
 
Nduguzangu mshamjua yule nilomkusudia?
Ameshindwa jizuia ameidhihirshia dunia
Kaingia ukumbuni akanya kwenye zulia
Ukuulizwa kwanini si akaanza kulia?

@ Shosti umenifurahisha sana mpenzi wangu :wink2:
 
Uungwana ni heshima Mungu analiridhia
Kisiingie kuchangia Bila ya kujikagua
Ulimi uulize mema Sio kujiropokea

Yangu ninayoyasema Mwisho nimefikilia
Sikieni muadhama ukeapo kosoa
Tusitafute hasama Mchawi kumjua
Kaditama nimefika sitatia langu neno........

acha kulalamika,ukikosolewa kidogo tu udini....hakuna uchawi wala nini....ndo great thinking yenyewe.....byeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
 
Im watching vere vere. Hiyo movie isiwe ya jak chen tu maana patachimbika.

Wala hapachimbika mpenzi shaka ondoa
Mimi muungwana wa pwani si kondoa
Wapo wenye hila wanaotaka nitia doa
Hawajiheshimu wamekalia uchangudoa
 
Lizzy wangu upo? Ngoja nikupangie vina na mistali....utakomaa na kukoma!
 
acha kulalamika,ukikosolewa kidogo tu udini....hakuna uchawi wala nini....ndo great thinking yenyewe.....byeeeeeeeee!!!!!!!!!!!

Wangoja nyota ya jaha, kutwa wewe unahaha
Mawazo yako si silaha, akukwaaye usaha
Usifanyiwe mzaha, waugeuza karaha............
 
Klorokwini....

Sijapita JF kitambo, nimerudi kumenibadilikia .............Kweli tunahitaji katiba mpya
 
Klorokwini....

Sijapita JF kitambo, nimerudi kumenibadilikia .............Kweli tunahitaji katiba mpya
hehe mwalim hii sredi ukichangia unatakiwa kuweka vidole hewani. sijui umeweka? na nakushauri hata thanks usigonge kwani nadhani mwisho wa hii sredi ni kupigwa ban hata waliogonga senks lol
 
hehe mwalim hii sredi ukichangia unatakiwa kuweka vidole hewani. sijui umeweka? na nakushauri hata thanks usigonge kwani nadhani mwisho wa hii sredi ni kupigwa ban hata waliogonga senks lol

Hahahahaha klorokwini upo mkuu? wewe umeweka vidole juu? unajua mjengoni wameambukiza mkuu..........
 
movie limeishia pabaya sikupenda mwisho wake kiukweli ila itauza tu ktokana na waigizaji wake wamejitahidi kwa kiwango cha juu,ngoja nkatafute mchumba kuleeee:rain:
 
Back
Top Bottom