Mchele unapogeuka pumba................

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Tulikuwa wahisani wenye mapenzi tele
Ukanipa mapenzi na mkate wa mchele
Leo nini kimesibu waniona uwele?
Au tofauti zetu dini wanipigia makelele
Kina unapokomenti unanichanja chale

Unipokea kwa wingi huba jamvini
Leo nini kimesibu unanitoa mavini
Ungekuwa mwanaume ningesema nimekuhini
Ni ngedhani ni mapenzi tumegombea vimini
Leo nakuuliza mbona nimekutoka moyoni
Jamvi naliona chungu nahisi ni motoni

Kila ninacho kinena hila wakitia
Awali sikubaini nkaona watania
Muda ukawadia nikaona yako nia
Kwenye hoja hunirukia tena kwa kunikamia
Hata iwe nadhamani hila yeye hulitia............
 
Bora tusiyakubali
Tukae kando kuepuka shari

A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
Sweet Afro Denzi
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif

You have touched me and begun to heal me deep inside my soul.
My heart belongs to you.
Love isn't just what's said out loud by The Finest,
it's what is shown by CPU to you
Stay with me
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
AD
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif

because I need you

Dont Panic TF

Kaka nakusalimia wewe na jamia
Niyaonayo yakweli au watania??
Mtoto umemweka mikononi umemtia???
 
Hujambo bibie au na wewe unajiandaa kunichanja chale? lol

Mi hata kiwembe sina!!!
Afu huku nilikuja mwenyewe kwa mapenzi yangu, sitafuti attention ya mtu yoyote humu!! Nikipenda sipost kitu nakaa nasoma tu vya wenzangu, na kugonga thanks kile nilikichokipenda. Nikichoka nakaa pembeni kama nilivyokuja mwenyewe!! Yani maisha yangu sio magumu hivyo kwenye hii keybod MS, natafuta nini, hakuna ninayemfahamu humu!! Na hata kama namfahamu mtu nje ya keybod, mambo ya huku yanabaki huku yanaoyoendelea huko nje yanaendelea.

Kha kwa nini nihangaike kaka angu, nataka kuibeba dunia mgongoni mwamgu kwani je nitaiweza? Haka mie, niombacho mie ni afya na amani ya nafsi yangu basi. Kwa nini kuhangaika na mwadamu ambaye amezaliwa kama wewe na atakufa kama wewe.

Dah Raha jipe mwenyewe Shoss, what are you looking for my dear!!

Stay happy and blessed!!
 
mmmhhhh nani tena kafanya hivi Shossi?

pole sana,take your time....mtu asikunyime raha ya kuwa JF....

haiwezekani pia kila mchango wa mtu ukupendeze....take it easy!!
 
nyie huyu MS atakuwa mpemba kalegeeeeeeeeeeeeeeeaaaaaa mnh kila saa anataka abembelezwe tu akikosa wa kumbembeleza atajiliza?! mnh man up unatia aibu!:A S 13::A S 13:
 
nyie huyu MS atakuwa mpemba kalegeeeeeeeeeeeeeeeaaaaaa mnh kila saa anataka abembelezwe tu akikosa wa kumbembeleza atajiliza?! mnh man up unatia aibu!:A S 13::A S 13:

Roselyne,sijakuona siku mbili hizi? salama???
 
salama my dear,nilikuwa nalewa nipunguze makali ya maisha lol,bado nina hangover mwenzio ngoja nikazimue lol:wink2:

Natamani tukazimue wote manake haya maisha sio kabisa....ngoja nitafute vijisenti vyangu tujiune tukazimue hadi kieleweke...l.o.l
 
Huyo kama kavinjari
Wewe vuka bahari
Nenda Zanzibari
Kule mambo shwari
 
Jasiri umekuwa, kwa kutoa lako sononeko
Hongera nnakupa, kwa kujikaza moyo wako
Na pole nafuatisha, kukufariji mwenzangu.
Ya juzi siyo ya jana, na ya leo kesho sahau
Maumivu yatakwishwa, burudani yako roho
Jamvi litakuwa zulia, usitamani kubanduka.
 
Mi hata kiwembe sina!!!

Kha kwa nini nihangaike kaka angu, nataka kuibeba dunia mgongoni mwamgu kwani je nitaiweza? Haka mie, niombacho mie ni afya na amani ya nafsi yangu basi. Kwa nini kuhangaika na mwadamu ambaye amezaliwa kama wewe na atakufa kama wewe.

Dah Raha jipe mwenyewe Shoss, what are you looking for my dear!!

Stay happy and blessed!!

Maneno yako dawa santa sana LD
 
nyie huyu MS atakuwa mpemba kalegeeeeeeeeeeeeeeeaaaaaa mnh kila saa anataka abembelezwe tu akikosa wa kumbembeleza atajiliza?! mnh man up unatia aibu!:A S 13::A S 13:

Mpemba halafu mdini (mwislamu) naona hujamalizia nakusaidia kama hujapendezewa si vibaya ukala kona kuliko kujitongozesha mimi nakuza lugha natunga mashairi kama unaweza vina tuingie kazini sio unaleta mambo ya hang over zako za amarula kwenye thread za watu ............
 
Back
Top Bottom