Mchekini mwanachama mwenzetu (hapa JF) akifanya mavitu yake!!

tehe tehe aaah acha bana.....unajua mchizi mox kaimba kuchora kuchora kitu unaweza ukachora na vile vile usioone ndani alafu unajua yule shori hakuwa wangu....sawa kiwango kama fabregas lakini mie viwango vyangu kama Zidane bana.....

Huyo shori wako mwenye tattoo ya jina lako ni Eninka?
 
Yo Yo tell 'em.....
1243172792souljatoomuch.jpg
 
.....ila kwa mashori kuna sehemu za mwili akiwa na tattoo inapendeza.....sio haya matattoo uchafu tu na mwenzie lebron james uchafu tu.......

Huyo shori wako mwenye tattoo ya jina lako ni Eninka?

tehe tehe sikuiona hii......wewe soulja boyi shori kama yule tattoo ataicholea wapi na kibody kile? niliekutana nae soo kifaa kinalipa alafu mboga saba...
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=msG47mEpZuw&feature=player_embedded"]YouTube - Soulja Boy @ T.I. Last Concert before jail[/ame]

turn ma swagger on.....Nyani Ngabu utaishije majuu hujirushi AKA utazipataje sasa?.... mi concert unaendaga kijana?
 
Last edited:
YouTube - Soulja Boy @ T.I. Last Concert before jail

turn ma swagger on.....Nyani Ngabu utaishije majuu hujirushi AKA utazipataje sasa?.... mi concert unaendaga kijana?

Hiyo ilikuwa jana jumapili (May 24) Phillips arena...sasa mimi mwenzio nshakuwa mtu mzima...vi concert concert hivi ni mambo ya ki teeny bopper...

Ila nilikuwepo kwenye afterparty Velvet room....najua wewe baada ya ku perform hiyo single yako ulirudi nyumbani kwenda kucheza video games na mshikaji wako Arab...
 
Heheheheheheee....sasa unajua kwa nini Yo Yo weekend hii hajaonekana hapa jamvini....

Halafu hebu angalieni hiyo picha ya kwanza....sasa hiyo aliyovaa sijui ni suruali njiwa au sijui ni pensi....mie sijui...


Mie nadhani ni pajama!
 
Huyo ni Mwanakijiji alipokuwa akiwatumbuiza wananchi wa busanda kwa ushindi wa CCM hamuoni kijani hiyo
 
Back
Top Bottom