Mchekini mwanachama mwenzetu (hapa JF) akifanya mavitu yake!!

Wajameni nimeipenda hiyo!!! NN yaani unajua JF lazima ina members of all calibre!!! Ni jukwaa huru kweli kweli, kinachotakiwa ni kufuata taratibu zake, i,e by laws!!!

Lakini jamani tunasema ni Yo Yo!!! Tena wakasema tena Yo Yo ni mhanga wa mabomu Mbagala!!! It seems tunamuwazia sana Yo Yo!!!! Ni vizuri.

Hapo sijui hiyo picha ni ya nani maana simfahamu member yoyote kwa picha hata majina halisi kiachia wachache ambao wanatumia real names!!!! japo picha zao hazipo ku justify uhalisia wa majina yao!!! which is good maana aingekwa ni lazima kuweka picha na jina halisi, leo msingenikuta hapa!!!!
 
Heheheheheheee....sasa unajua kwa nini Yo Yo weekend hii hajaonekana hapa jamvini....

Halafu hebu angalieni hiyo picha ya kwanza....sasa hiyo aliyovaa sijui ni suruali njiwa au sijui ni pensi....mie sijui...
anaye kaka yake mmoja bonge kinoma. sasa akawa amemuazima pensi yake akapige show.
Thanx Nyani nadhani ilikuwa wikend tulivu
 
mmh! nahisi anaweza kuwa ni Yo Yo
hapana bibie...mie ni intelectual fulani hapa JF sina matattoo na sivai mifuko ya mashine kama huyo kid......

.....pili sivai vipuri nina hishma zangu bana....mimi najua huyu ndio big fan wa Nyani ngabu na Icadon juzi walikuwa wanaambiana hapa kuwa wamesainiwa outograph zao za huyu kid.....
 
Yo Yo Tell 'Em
tehe teeh hapo najua unateleza na bird walk.....ambavyo sipendi tattoo yule shori nimemwambia kafute jina langu kwenye tits zake(ieleweke tattoo yake inaonekana kwa juu sio kwamba niliona baada ya kufunua....)
 
Yule shori wako balaa kwenye makalio alikuwa na tattoo za Fidel80
 
Heheheheheheheee...sijui utafanya nini maana kila mtu anajua wewe ni Soulja boy's number one fan...yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Yule shori wako balaa kwenye makalio alikuwa na tattoo za Fidel80
tehe tehe aaah acha bana.....unajua mchizi mox kaimba kuchora kuchora kitu unaweza ukachora na vile vile usioone ndani alafu unajua yule shori hakuwa wangu....sawa kiwango kama fabregas lakini mie viwango vyangu kama Zidane bana.....
 
Mazee ile picha kama ni wewe lazima uchukue mzigo Uwiano ....kwi kwi kwi...
 
lol this guy once he commented that he is lucky born in america instead of africa!!
he is proud of his ancestors who moved to america via slave trade!!
 
Iteitei hiyo avatar yako inafurahisha!! Naona kama jamaa amekumbatia shori wake lakini hajui nyuma yake kuna njemba nyingine nayo inafaidi mdomoni !!
 
Mazee ile picha kama ni wewe lazima uchukue mzigo Uwiano ....kwi kwi kwi...
shehe mbona unampromoti sana UWIANO? hebu tujulishe weye ndo mpokea mahari ili wazee tujipange???
naomba uwiano anitumie PM tafadhali kuna mambo nyeti nataka tuyabalansishe kwanza kabla ya kwenda hewani
 
Opaque
user_online.gif

opaque bana hii AVATOR inanipa maswali mingi sana kichwani
 
Mazee ile picha kama ni wewe lazima uchukue mzigo Uwiano ....kwi kwi kwi...

shori Uwiano wa ngabu.......

....hivi huyu kid tell'em hana stylist?

shehe mbona unampromoti sana UWIANO? hebu tujulishe weye ndo mpokea mahari ili wazee tujipange???
naomba uwiano anitumie PM tafadhali kuna mambo nyeti nataka tuyabalansishe kwanza kabla ya kwenda hewani

Naona mnatafuta ligi wazee. Toka FMES aniambie niiname ndio mmeamua kunifanya Mac D wa JF sio? Nitamaliza mutu mazeeya,your last warning. Yo Yo nakukaba na kyandu!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom