Mchawi akamatwa live!!

Halafu tunajidai tunataka maendeleo,maendeleo yatatoka wapi na wachawi wamejaa kila kona mpaka leo hii karne ya 21????
 
Jamani, hii pic si ilionekana janvini mdamrefu ati imetoka kanisani kwa rwakatare?!: hii si ngeni hata kidogo.
 
yaa hata mie naikumbuka kipindi kile cha mama rwakatale anyatoa misukule....labda wawe wanafanana
Jamani, hii pic si ilionekana janvini mdamrefu ati imetoka kanisani kwa rwakatare?!: hii si ngeni hata kidogo.
 
Jamani hata ukiangalia vizuri kwenye hiyo link hiyo picha ilikuwa posted 2009

Jamani, hii pic si ilionekana janvini mdamrefu ati imetoka kanisani kwa rwakatare?!: hii si ngeni hata kidogo.
 
Uongo mtupu, yaani huyu jamaa kila mwaka yeye anatekwa na wachawi? mtu yuleyule, chup* ileile, anajipaka mikaa ileile, I am sick and tired of fabricated and manipulated stories! Tulishaiona hiyo picha.
 
http://api.ning.com/files/cwsKfs-l*...ACM0Exsq5U3rb/mchawi.gif?width=400&height=320
Taarifa zaidi zinadai vijana hao waliopata fahamu walisema kuwa, wakiwa porini walikuwa wakiishi kwa kula unga wa mtama, nyama na damu za watu iliyokuwa ikipatikana kutokana na ajali ambazo wachawi hao walikuwa wakizisababisha.

Mchawa akamatwa live!! - Zanzibarwebsite


Mkuu mbona hii picha ilishaoneshwa long time wakati ule wa misukule ya Gwajima??? Acheni usanii nyie naikumbuka vizuri sana!!! Soma link hapo chini angalia na picha!!!:embarassed2:

Misukule yamuumbua Gwajima - Global Publishers
 
Hivi ndo namna ya kutafuta hela kwa kuwauzia wajinga na misukule ya Tanzania inayoamini kwenye uchawi. Hawa jamaa wanapaka mtu mkaa ili tuamini kuwa ni mchawi na tununue magazeti yao. Huu ni upumbavu kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom