Mchango wangu kwenye Star TV juu ya Sheria ya Gharama za Uchaguzi

Ukiona JK anaisifia sheria ile ujue imewekewa "vilainishi" vingi mno. Iwekeni na sheria yenyewe humu au imo?
 
Wengine tumekusikia mkuu lakini baada ya mahojiano nikatoka mkuu kuwahi kibaruani niliacha Hiza Tmbwe ana hojiwa!
 
Wakati mwingine uwe unatuambia/unatutangazia Kabla ya mazungumzo.Wengine tunahamu ya kusikiliza live na kukuona live.
 
Unfortunately nilichelewa kusikiliza alichosema Mzee Mwanakijiji. Lakini, Tambwe Hiza mamluki toka CUF kwenda CCM hana lolote la maana analoweza kusema. Nilichomsikia akisema wakati wote ni kudai "kama Rais alivyosema.!" Mwenyekiti wa CCJ bado anahitaji kuwa na uzoefu wa kuongea kwenye vyombo vya habari. Alikuwa anapata shida kidogo kujibu ama kujieleza alipoulizwa maswali ya papo kwa papo. He is a very cool composed guy I can say.
 
Nitawawekea sehemu ya audio ya mahojiano kutoka upande wangu, within the next 45 minutes

Mkuu MKJJ kwanza iyo pic yako imeonyesha uko kijijini au shambani?

Umesema utatupa hiyo audio after 45mins vipi uko busy sana au waiandaaa mkuuu?

Nimekusikia maana ulikuwa unaongea kwa hasira sana na pia asante babu yangu kwa kazi nzuri sana na pia nakutakia kila la kheri kwa ajili yako, ila kama waliweza kupitisha sheria ya Takrima mwaka ule wa 1995-2005 leo wataweza kukubali sheria hii isifanye kazi, kweli kuna kazi kubwa babu yangu mwanakijiji
 
Ntapenda kusikia vipengele ambavyo Mwanakijiji anavipinga, binafsi kwa jinsi nlivyomsikiliza Rais siku aliyokuwa anatoa hotuba kupitia TV (28th Feb 2010), sikuona mapungufu katika ile sheria. Nimejaribu kuangalia mapungufu ya ile sheria, bado naona mazuri ni mengi sana, coz ile sheria ndio msingi wa Utawala Bora kama itasimamiwa inavyotakiwa!

Mpaka hapa tulipo bado naisupport hiyo sheria kama ilivyo, unless I hear the worst side of that Act!
Kwa hili bado nipo upande wa JK!
 
Itakuwa vizuri kama uatlivalia njuga hili suala,wengine tumeshakata tamaa.Wish You all the best Mkuu.
 
Ntapenda kusikia vipengele ambavyo Mwanakijiji anavipinga, binafsi kwa jinsi nlivyomsikiliza Rais siku aliyokuwa anatoa hotuba kupitia TV (28th Feb 2010), sikuona mapungufu katika ile sheria. Nimejaribu kuangalia mapungufu ya ile sheria, bado naona mazuri ni mengi sana, coz ile sheria ndio msingi wa Utawala Bora kama itasimamiwa inavyotakiwa!

Mpaka hapa tulipo bado naisupport hiyo sheria kama ilivyo, unless I hear the worst side of that Act!
Kwa hili bado nipo upande wa JK!

Kabengwe.. hiyo sheria ni mbaya kwa kila kipimo; Kikwete alikuwa kama mcheza mazingaombwe; anawasadikisha watu kwa kitu ambacho hakipo!
 
Mzee Mwanakijiji is preparing to be on Star TV March 5th, 7:30AM .

Mkuu Tujuze umeongelea nini?

MJ
 
Back
Top Bottom