Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
aliyemuua Nyerere ni Kikwete!
Kikwete alijua Hatakiwi na Nyerere na Mkapa , akaona akimuua Nyerere mkapa hanaujanja!!
au unafikiri kwa nini Mkapa ambaye alipigiwa debe na Nyerere amuue Nyerere nasio Kikwete ambaye ameutafuta urais kwa zaidi ya miaka 10 asiwe ndiye aliyemuuaNyerere
Nyerere alionyesha wazi na alisema wazi bado Kikwete ni mdogo? unafikirialikuwa mdogo ki-ukweli??
mimi nadhani (kwa maelezo yako) naona Kikwete ndiye aliyemuua Nyerere auunasemaje??
Nakubaliana na hoja yako asilimia mia moja isipokuwa hapo unapohoji kama kikwete alikuwa Mdogo - Kiukweli.
Mwalimu alikuwa sahihi Aliposema Kikwete alikuwa mdogo, na mpaka sasa napo bonyeza key board hii Hajawahi
kukua na kufikia hekima ya kumuwezesha kuwa kiongozi wa nchi,.
Ushahidi ni uongozi Mbovu wa serikali yetu katika kila namna, kuanzia kwenye utendaji wake binafsi, mpaka
kwenye namna anavyowasimamia viongozi walio chini yake katika serikali na kwenye genge lao la mauaji (CCM).
Mpaka sasa, kwenye mambo ya uongozi wa juu kama alionao kikwete umri wake ni kama kilui lui