Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I wish siku moja polisi wagome wiki moja tu na dhani tutaheshimana kuwa kila mtu ni muhimu kwenye kazi yake. Ugua pole mkuu lakini pia ujue huduma unayopata hapo hata wale uliowagomea wanaihitaji kama wewe unavyoihitaji bila kujali kama gvt imetekeleza mapendekezo yenu,
Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..
Hata kuchangia Dr limboka na hatua safi - labda ikiamuliwa apelekwe say RSA si atakuwa na pakuanzia? Huwezi changia kwa sasas poa. wacha kukatisha watu tamaa.
oya milioni 50 wapi nizitupe??!!
kwa doctor ulimboka???
au hapa hapa jf??
na semeni mnataka tanzania money au dolas??!!
na wanaotaka ticket za safari ni wangapi??!!
baada ya matibabu hamtaki mda wa kujifurahisha kidogo huko nje??!!
wakati wa kurudi akiwa air port si mtafanya maandamano ya kimtindo??!!
na gharama za kualika vyombo viwili vitatu vya habari!!
zijumlisheni zote hizo kama 50milioni kicheche nikunjuke 100/=
na akirudi kutoka matibabu nataka muendelee na mgomo kwani maisha ya ulitomboka ni bora kuliko mamia ya wagonjwa wanaoteseka kwa kukosa tiba na wengine kufa!!!
ulitomboka ni muhimu sana kuliko wagonjwa wote wanaoteseka mahospitalini kwa mgomo!!
Mantisa nachangia 30000
janja pori 30000
Jamani wana JF habari zenu.Nitoe mfano kidogo.Nilimpeleka mke wangu kujifungua,miezi saba iliyopita.madaktari wakagundua kuwa anahitaji Operation.Lakini hawakuwa na nyuzi za kumshonea baada ya upasuaji.Wakanipa sababu mbali mbali mpaka akafariki. hivyo alifariki yeye na mwanae.Madaktari wanapigania mazingira mazuri ya kazi ikiwa ni pamoja na vifaa vyote vya kazi n.k. sasa sidhani kama wana kosea.
nani anauza dawa na vifaa hospitalini???
Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..
Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..
Mimi nilidhani mtaonyesha msisitizo wa mgomo wenu bila ubaguzi kuonyesha mpo siriazi,Kumbe mnachingishana kutibu mgonjwa anayetibiwa bure na habanwi na mgomo