Mchango wa Dr. Slaa Bungeni June 16, 2010

Binti Sayuni

Hata kama si manunuzi hewa wanunuzi wanajua kuna ten percent hapo tena ukienda mbali utagundua hata hayo maduka ni ya hao hao wapanga manunuzi na watumia hizo thamani ndiyo maana wakati mwingine mtanzania anayeishi Tanzania anashindwa kuamini kwamba kuna watu wanaishi kwa mlo mmoja why? Kwasababu ndani ya nchi moja kuna falme zilizojijenga ambazo haziijui kinachoendelea nje ya falme zao; the worse is no trical down of whatever income is gained for this circulates within the wateule wachache and the majority are placed outside of the circle.....Ndiyo maana watu wako tayari kulinda status quo kwa gharama ya hata kumwaga damu kama ikibidi....Poor Tanzania who is to save you from this? Well not far from now you will witness athousands falling on your left side and ten thousands on your right side!
 
Point yake ni nzuri sana ingawa mfano huo wa viwango vya kubadilishia fedha ulioutoa hapo juu una kasoro. Kwa kifupi katika kipindi cha miaka miwili (2007 mpaka Nov 2009) uwezo wa manunuzi wa shilingi mia moja ulipungua hadi kufikia shilingi 87 ( takwimu hizi na grafu yake nilishaweka hapa wiki kadhaa zilizopita kipindi kile cha sakata la TUCTA na hizi ni takwimu ni za kutoka NBS).

Hoja za waheshimiwa kama Zitto na Slaa zinaonyesha ukomavu wa hali ya juu katika haya maswala ila tatizo ni hao wavivu wa CCM wanaojaza nafasi huko Bungeni. Bajeti hii ni busu la mauti.

Mkuu kutoka Tsh 100 kwenda Tsh 87 ni punguzo la asilimia 13 na data zake zinaonyesha ni asilimia 12.1 statistically si mbali sana.

I stand corrected kidogo hali ni mbaya zaidi, pateni hiyo grafu hapa, please ignore hizo nyingine.

spottheoddoneout.jpg
 
Natamani kuiona siku ambayo watanzania tutatoka usingizini na kuyaona madudu haya ya watawala wetu na kuchukuwa hatua sahihi.Eee Mungu tusaidie.
 
TBC is just part of thta corrupted governmemt and there is nothing new about Tido coz he will always be on the government side. CCM wanataka kurra ndio maaana hakutawakutaka kuonyesha bunge.SITA hasijidai kuwa yeye ni mp[enda michezo kwani yeye alikuwa amekwishakataa mawanzaoni.SITA anauwawa kisisisa
 
Naam Mkuu kuna pattern ambayo ukiifuatilia utaona hizo "technical issues" hutokea pale mbunge wa upinzani anapokuwa anaikandiya Sirikali tena kwa data za uhakika. Hali hii imeshatokea mara nyingi huko nyuma.

Ni kweli!
Unakumbuka mwaka jana walizima TV zote (namaanisha walizuia wasilushe matangazo ya Bunge live wakati Dr Wilbroad akitoa hotuba yake,TBC na Star TV walitii). This year the same to the same person on the same media...nachoka!!

Meremeta na Epa, plus madudu mengine waliyofanya yanawasumbua. Wamesahau kuwa huwezi kuwadanganya watu nyakati zote.

Dr Slaa, we endelea kuwabana tu, wataachia na kuanza kutafutana nani yuko wapi. Si unakumbuka walikuuliza wewe hoja hiyohiyo tu kila mwaka kwani huna nyingine?[eti wamesahau mengi unayoyasema kwa manufaa ya watanzania] Ilimradi unyamaze nao wapumue. Kandamiza baba, tunakukubali.
 
Back
Top Bottom