MCHANGO KCMC hospitali yetu.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wana jf ni matumaini yangu kila mmoja wetu anajua umuhimu wa KCMC kwa umma. Hospitali hii inakabiliwa na changamoto nyingi hasa upungufu wa wodi za kulaza wagonjwa hasa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wogonjwa. Ninaombeni kila mmoja wetu aguswe achangie ujenzi wa wodi mpya. Kuchangia tuma neno KCMC kwenda 15551 utakatwa T.shilingi 300tu. Wana jf tuonyeshe mapenzi ya kwa KCMC,asanteni.
 
Back
Top Bottom