Elections 2010 Mchangie Halima Mdee

Rugemeleza

JF-Expert Member
Oct 26, 2009
668
136
Kwa wale ambao wanataka kumchangia Mwanaharakati Ndugu Halima Mdee mwaweza kufanya hivyo kama maelezo yake yanavyojieleza hapo chini na vilevile mwaweza kufuatilia mtungo wake UKOMBOZI WA KAWE
a+Michango.jpg
 
Tunapenda kumchangia lakini kupanga foleni bank ni issue angetumia altenative nyingine kama ZAP, TIGO PESA BUT SIO M-PESA MAANA WATAMUHUJUMU,
Mkuu weka njia nyingine mimi nitakuwa wa kwanza kumchangia
 
i am interested kumchangia mwanamama huyu shupavu na jasiri ambaye amefanya kazi nzuri sana hasa kwa kitendo
chake cha kuthubutu kuwa expose mafisadi huko kawe. sisi tulio huku ughaibuni tunawezaje kuingiza pesa ktk hii account
nawaomba ndugu mlio USA tusaidiane namna ya kuchangia kwa sababu ukienda benki kwa wire transfer wanataka routing number na sizani
kama benki za TNZ wanazo hizo kwahiyo nitashukuru kupata maelekezo kutoka kwa yeyote mwenye idea namna ya kuingiza pesa kwenye
hii account kutokea hapa USA. nyota njema uonekana asubuhi kwahiyo ningewaomba wenzangu wote wenye uwezo please wakati wa maneno
umekwisha sasa tujitoe sio kwa maneno matupu bali tuwe tayari kusaidia vita hii kwa hali na mali ni aibu kwa Mtanzania yeyote to watch from
sidelines wakati ccm ikiizamisha nchi yetu kwani watoto na wajukuu zako watakuuliza what did you do to save the country? if you choose to do nothing beleive me they will tell you that you are part of the problem.you saw ccm ripping off the country and you chose to do nothing.
i know that not everyone can run for congress but you can help those who dare to do so. By doing nothing you are actual unknowling helping ccm to win the election.
 
Ninataka kuwatumia Regia na Halima michango kwa njia ya Moneygram. Nipeni utaratibu, ninaishi jje ya nchi na international wire transfer kwenye benki yangu huwa inagharibu $45 ambazo nadhani ni nyingi sana; kwa moneygram ninalipa $10 tu.
 
i am interested kumchangia mwanamama huyu shupavu na jasiri ambaye amefanya kazi nzuri sana hasa kwa kitendo
chake cha kuthubutu kuwa expose mafisadi huko kawe. sisi tulio huku ughaibuni tunawezaje kuingiza pesa ktk hii account
nawaomba ndugu mlio USA tusaidiane namna ya kuchangia kwa sababu ukienda benki kwa wire transfer wanataka routing number na sizani
kama benki za TNZ wanazo hizo kwahiyo nitashukuru kupata maelekezo kutoka kwa yeyote mwenye idea namna ya kuingiza pesa kwenye
hii account kutokea hapa USA. nyota njema uonekana asubuhi kwahiyo ningewaomba wenzangu wote wenye uwezo please wakati wa maneno
umekwisha sasa tujitoe sio kwa maneno matupu bali tuwe tayari kusaidia vita hii kwa hali na mali ni aibu kwa Mtanzania yeyote to watch from
sidelines wakati ccm ikiizamisha nchi yetu kwani watoto na wajukuu zako watakuuliza what did you do to save the country? if you choose to do nothing beleive me they will tell you that you are part of the problem.you saw ccm ripping off the country and you chose to do nothing.
i know that not everyone can run for congress but you can help those who dare to do so. By doing nothing you are actual unknowling helping ccm to win the election.

Siku hizi ukienda kwenye tovuti ya Benki yako unaweza ukapata Routing number ya Benki yoyote. Ila ndugu zetu walioko nyumbani wanaweza kutupatia Routing number ya Benki mbalimbali. Ninaunga mkono utaratibu ambao mtu unaweza ukatuma pesa kwa Western Union au Moneygram kwani ni nafuu zaidi hivyo wagombea ni bora wakatupatia namba zao za simu ili mtu aweze kuwatumia pesa kwa njia hiyo.
 
Siwezi kupata nafasi ya kupanga foleni bank kutokana na nature ya kazi yangu. Natamani sana kukuchangia. M-Pesa or tigo pesa to me is the easiest altenative. work on that.
 
Kama ana account nmb.
Nmb mobile is much more easier kwa wale wenye account nmb kumchangia.
 
Ikiwezekana fanya utaratibu watu wakuchangie kupitia kwenye mtandao wa simu; hiyo ni rahisi na convenient kwa wananchi wengi hasa mijini! Fanya hima siku ndio zinayoyoma.
 
Kama ana account nmb.
Nmb mobile is much more easier kwa wale wenye account nmb kumchangia.
Ndiyo. Tunamshauri Halima afungue akaunti NMB. NMB Mobile ndiyo njia rahisi ya kuhamisha pesa kwa simu kwa sisi tulioko hapa Bongo.
 
Back
Top Bottom