mchangiaji wa bajeti ya ku-copy na ku-paste

Alivyoanza tu kuongea nikajua nisije nikavunja TV yangu bure maana alianza kwa mipasho na kwa kuwa disorganised kumbe amewakera wengi....
na kumbe ameongea kama kawaida yake mwanamipasho.
Kwa kweli kwa mtu makini kwenda ccm ni kujipotezea tuu, lazima utageuzwa tu kuwa mwanamipasho..
Duuh!!! kweli TZ kazi tunayo.
 
....Ndiyo maana kuna watu wanasifia foleni za magari kuwa ni maendeleo wakati kuna wanoona foleni hizo kuwa na kukosa maendeleo. Kwa wenzetu kukitokea foleni za mara kwa mara barabarani wanona hilo ni tatizo na wanalitafutia ufumbuzi, ama kwa kupanua barabara au kwa kuibadili iwe one way. Watu wa namna hii ndio taipu ya wanaosifia foleni zinazidi kuwa kipimo cha imeendelea, ingawa vigari tulivyo navyo havifikii hata nusu ya magari yanayopatikana katika mji mdogo wenye familia 400 katika nchi liyoendelea.
 
Kuliko kuongea kama alivyoongea huyu mama ni bora kutokuongea kabisa... Amejidhalilisha sana... Wakati mwingine kukaa kimya ni busara!...
Ndio maana mbunge wa jimbo langu Mh. John Komba ye anachapa usingizi tu na kuachia mishuuuuiiz,.!?
 
Back
Top Bottom