Mchanga wa chukuliwa Morogoro kwenda teketezwa Nje(Ulaya)

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
benki ya Dunia imedhamini mchakato wa kukwapua tani kibao za udogo unaodaiwa kuwa umeharibiwa na viwatilifu,hivyo haufai kwa matumizi ya binadamu. katika mchakato huo udogo huo ambao umejazwa kwenye mifuko maalumu utasafirishwa kwenda ulaya kwa ajili ya kuteketezw...
hivi Tanzania hatuwezi kufanya lolote? tekinologia iko wapi? wako wapi wataalamu wetu wa mazingira? kwa kufikiri zaidi nauliza je lazima udongo juo ukateketezwe ulaya?



source ..CCM TV (TBC) Habari
 
Huo ni ulanga unaondoka hivyo. Usimwamshe aliyelala, kwani utalala wewe. Tangu lini mzungu akakuteketezea udongo? Kiwete, Pinda, you name them!
 
hatuna kazi nao...acha wauchukue....unasafirishwa udongo wa dhahabu seuze ulanga.....hii ndo TZ bwana...
 
kama sio ulanga hapo watakuwa wanasafirisha ruby au sphare(spelling)

shamba la bibi oyeeeeeee

kidumu chama cha mapinduzi
 
Acha watusaidie, migodi yote hii mbona ulafi wao utawaua,miaka miwili ijayo tz kama Dubai mabomba ya maji na maziwa nchi nzima,foleni sikumbuki mara ya mwisho iliisha lini,shule si mnaziona! Kata moja shule mbili za sekondari si mchezo! Vyuo vikuu je,Udom si mnaiona?Kigamboni daraja mmelionaa! Likiisha kila mkazi atamiliki bhajaj si mtafurahii,basi endeleeni kunisifu kwa nyimbo na mapambio,kama walivosema wachungaji mi mteule wa Mungu si ndiyo jamani....!
 
Back
Top Bottom