Mchana mlikuwa wapi???

sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
517
169
Nawapenda wote wanajamvi, hamjamboo!!

Kuna jambo huwa silipendi sijui nyie mnalionaje.

Unakuta watu wanafahamu fika wewe mume/mke wa mtu
Walikuwa na siku nzima ya kukupigia simu kuongea mambo yao ya kipuuzi
ila kwasababu wanazozijua wao wanaamua kupiga usiku na wanajua fika utakua
na my wife/hubby wako.Na watu wa hivi huwa hawana la mana la kusema, zaidi yakuongea kisichoeleweka na kuuliza 'mambo mengine vipi'..

Jamani, mchana mlikuwa wapii?
Haijakaa vizuri. Nyie mwaonaje?
 
Hee, labda wao usiku ndo wanapata nafasi ya kupiga simu, mchana busy si unajua. wakomeshe ni kuwatukana tu, LOL
 
ila mtu kama huyo unatakiwa umkemee lkn eti anakupigia simu usiku ww unamwonyesha kuwa uko sawa na kesho atarudi, inatakiwa umuonyeshe kuwa kile kitendo alichofanya si kizuri na hatarudia tena!! mwambie sipendi unipigie tena simu usiku.
 
Mi apige tu asubuhi mchana jioni.
Nikitaka kupokea napokea, nisipotaka sipokei pia.
Kama anakuambia ishu ya maana usiku huo, asikuambie kisa jana hakusema cha maana.

Inategemea anayekupigia hiyo simu ni nani lakini.
 
Kiustaarabu, hata bila ya kuwa na mme/mke, simu za usiku zisizokuwa na sababu ya msingi hazina maana. Mtu mwenye busara zake hawezi fanya hivyo, ni muda wa kupumzika.
 
yani kuna hawa watu wanaitwa waharibifu ndio nawaongelea hapa
wao wanafanya juu chini kuvizia uko nyumbani na wife/hubby wako ndo wapige simu
hao watu huwa ni wale either wanakutongoza au uliwakataa
sasa kwa uharibifu wao tu wataanza kuongea mambo sio
na simu ikiita sana hujapokea mwenzio atakuhisi vibaya

hii imetokea na inaendelea kutokea kwa mtu namfahamu
mpaka mkewe hana raha sababu ya hawa viumbe waharibifu
inabidi mume akifika home either azime simu au aweke silent ambayo pia huleta ugomvi
afu akiwaambia waharibifu waache wao ndo wanaona rahaaa eti 'si atoke tu huyo nae vituko vyote hivi yumo tu'..
haaa!!
 
Mimi niliwahi kugombana na ndugu zangu kuwa wasinipigie simu mchana huo ni muda kazi nalitumikia taifa na wala sitaki mgeni nyumbani kwangu siku za kazi. Simu unapiga kuanzia saa kumi na moja mpaka saa moja na nusu baada ya hapo sipokei simu na nimezima nasubiri taarifa ya habari na wanajua kabisa unless kuwe na emergency kubwa sana watapiga simu ya ndani yangu nooooooooooo.

So mimi mchana hapana simu ya urafiki wala ya undugu ni za kazi tu peke yake
 
Nawapenda wote wanajamvi, hamjamboo!!

Kuna jambo huwa silipendi sijui nyie mnalionaje.

Unakuta watu wanafahamu fika wewe mume/mke wa mtu
Walikuwa na siku nzima ya kukupigia simu kuongea mambo yao ya kipuuzi
ila kwasababu wanazozijua wao wanaamua kupiga usiku na wanajua fika utakua
na my wife/hubby wako.Na watu wa hivi huwa hawana la mana la kusema, zaidi yakuongea kisichoeleweka na kuuliza 'mambo mengine vipi'..

Jamani, mchana mlikuwa wapii?
Haijakaa vizuri. Nyie mwaonaje?

watu hawakurupuki tu kukupigia hayo yatakuwa mazoea uliyowajengea toka kabla hujaoa/olewa
 
we na wewee hujatuliaa..kwanini unajua una wife then ugawee number yako kwa kila gal unaemtongozaa,ulimbukeni.pili we ulitegemea nini kumtongoza mwanafunzi ambaye kilaa saa atakusumbua.basi ukiwaa unagawa number mwambiaa kuanzia mida flani usipingee...UZIZIIIIIIII TU
 
Nawapenda wote wanajamvi, hamjamboo!!

Kuna jambo huwa silipendi sijui nyie mnalionaje.

Unakuta watu wanafahamu fika wewe mume/mke wa mtu
Walikuwa na siku nzima ya kukupigia simu kuongea mambo yao ya kipuuzi
ila kwasababu wanazozijua wao wanaamua kupiga usiku na wanajua fika utakua
na my wife/hubby wako.Na watu wa hivi huwa hawana la mana la kusema, zaidi yakuongea kisichoeleweka na kuuliza 'mambo mengine vipi'..

Jamani, mchana mlikuwa wapii?
Haijakaa vizuri. Nyie mwaonaje?

Hujui kuwa concentration ya nyege huongezeka usiku?
 
Mimi niliwahi kugombana na ndugu zangu kuwa wasinipigie simu mchana huo ni muda kazi nalitumikia taifa na wala sitaki mgeni nyumbani kwangu siku za kazi. Simu unapiga kuanzia saa kumi na moja mpaka saa moja na nusu baada ya hapo sipokei simu na nimezima nasubiri taarifa ya habari na wanajua kabisa unless kuwe na emergency kubwa sana watapiga simu ya ndani yangu nooooooooooo.

So mimi mchana hapana simu ya urafiki wala ya undugu ni za kazi tu peke yake

Hayupo aliyeconclude kuwa we mnoko?
 
we na wewee hujatuliaa..kwanini unajua una wife then ugawee number yako kwa kila gal unaemtongozaa,ulimbukeni.pili we ulitegemea nini kumtongoza mwanafunzi ambaye kilaa saa atakusumbua.basi ukiwaa unagawa number mwambiaa kuanzia mida flani usipingee...UZIZIIIIIIII TU

:lol: B'real hujaelewa mada banaa hebu soma tena vizuri
 
Mwanaume mwenye mmsimamo hata kama ana kazi za nje, ila huyo anaepigiwa atakua hamheshimu mkewe na ndio maana amewapa uhuru kupiga muda wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom