mchambuzi wa soka ATN(Bwana moto)acha mapenzi ya waziwazi hivyo.

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,278
huyu jamaa ni mpenzi wa man utd,lakini anapokuwa anachambua mechi huwa anaonyesha mapenzi ya wazi wazi mno,kila ki2 utasikia pale ingejuwa man utd/ferguson!wachambuzi wote huwa wana mapenzi na timu fulani lakini kitaaluma cio vizuri kuonyesha upo upande gani,we chambua kulingana na hali halisi inayoonekana uwanjani,kidogo ingekuwa ni timu ya taifa unaweza onyesha uzalendo kidogo,ukaeleweka.sasa wewe kila kitu man utd.
 
Kilaza huyo achana naye. Hiyo man united ingekuwa na uwezo huo ingetolewa mapema?!!

Waache kesho wakacheze gololi na wenzao, mambo ya kiume j4 na j5, alhamisi watu eti tuache kuangalia FURUHI tukaangalie ligi ya mbuzi
 
Back
Top Bottom