Mchambuzi ahoji intellect ya mtu mweusi......very interesting?

Kunamambo ya msingi kutoka kwenye uchambuzi wake, lakini la msingi, ni anavyopigwa bumbuwazi la kurudia makaso ya kihistoria. Labda, kwa ufupi, nadhani ni vyema turejee na kuelewa kwamba uhuru wa nchi nyingi za kiafrika hakuweza kuvunja mifumo ya kiuchumi. Hivyo, si jambo la kushangaza kwanini tunaendelea kuruhusu kuwa sehemu ya kunyonywa kwa manufaa ya mapebari katika nchi zingine. Ikumbukwe ubepari sio utaifa, ni mfumo unaovuka utaifa bali hutumia utaifa kulinda maslahi yake.
 
Back
Top Bottom