'Mchakato wa mageuzi ndani ya CCM si wa siku 1'-NAPE

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Katibu wa itikad na Uenez wa ccm bwana Nape Nnauye amesema suala la mageuz'KUJIVUA GAMBA' ndani ya CCM ni mchakato endelevu na wala si la siku moja kama watu wanavyodhani,
sosi:HABARI LEO,
MY TEKI,hakuna kipya kwenye kikao kinachofanyka Dodoma leo,tuendelee na mjadala wa katiba
 
Back
Top Bottom