Mchakato wa Katiba-bungeni Zitto na wenzake watakuwepo?

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
444
Hali ya wabunge wa CHADEMA akina MBOWE, TUNDU LISSU, LEMA na ZITTO ziko je hadi sasa??? kuna uwezekano wa wao kuwepo Bungeni kwa wiki inayoanza tar 14/11/2011? Ni wiki muhimu sana kwani mstakabali wa katiba mpya ndo utajulikana. nina wasiwasi endapo wao wakikosa kwani hata wapiga wao watakosa wawakilishi; huu mchakato wa katiba mpya kwa kushirikiana na wana harakati wametoka nao mbali sana.
 
Back
Top Bottom