Elections 2010 Mchakato majimboni TBC1 Jimbo la Kigoma Kaskazini

huyu mgombe wa CUF anadharau sana, anasema masikini, hawezi kumsaidia masikini mwezake, anasema wampe yeye ili awasaidie
 
hawa wanamsindikiza zito...wagombea wengine sioni chamaana wanachokiongea...
 
Kuna dogo huyu anaitwa kinanda. Anaongea kweli. Ila namkubali kisu kwa ku edit maswali
 
Naona ndio wanamalizia. Kwa nilivyoona mchakato huu, bado zito ana nafasi. Maneno yake ya kufungia ni msumari tosha.
 
Zitto amemaliza, no mention ya mgombea wao wa urais wala madiwani wao, na Kissu pia amembeba Zitto kiaina!
 
namsaidia kujibu
1.hana mpango wa kugombea urais 2015 kwa sababu atakuwa hajatimiza kigezo cha umri
2.anafanya kampeni za chadema, alikuwa kibaha, lindi, mtwara
3.si kweli
Umeeleza vema lakini umesahau kuongezea:

Mbona hawawaulizii kina Mnyika, Tundu Lissu n.k? Kwanini Zitto tu? Nadhani vema kumtendea haki, kajitahidi sana ukizingatia kuwa naye ni mgombea
 
Safi sana Zitto, jimbo ni lako. Wewe kukosekana mjengoni ni sawa na tyson kukosekana kwenye ulingo wa ngumi, ambapo mvuto ungepungua sana.
go Zitto goooo!!
 
Zitto Jibu maswali ya wana JF tafadhali,kukaa kwako kimya kunafanya watu wasikufikirie vizuri..
Kwa nini hauonekan kwenye kampen za Dr Slaa Ilhal wew ni mmoja wa wa vijana wa Chadema wenye ushawishi katika jamii?
 
Kama leo "machakato majimboni " ni jimboni kwa Zitto, Siwezi poteza mda wangu kwa kutizama mtu kama Zitto, kijana aliyeishiwa sera na mwenye tamaa ,anayejali maslahi yake binafsi kuliko ya wapiga kura wake.....
heee!! nini tena?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom