Elections 2010 Mchakato majimboni live TBC - Arumeru Mashariki

heko ccm kwa kujua kwamba haya maswali wagombea wasengeweza kujibu
 
tlp hamna kitu, udpd wataongeza mishahara,swala la ada si la mwanafunzi asifukuzwe, cuf walimu wawezeshwe
sijaona swali la maana hapa mgombea wa chadema anapata ujiko wa bure tu ataanzisha mfuko wa elimu kuboresha mishahara ya walimu,kuanzisha tuzo kwa walimu
 
watawasaidiaje matibabu walemavu,
cuf, atawapa kipaumbele kupita mashirikayaliyopo
tlp, hospitali za serikali kuwa na vitengo maalum
 
hivi hawa wananchi wa arumeru hawana maswali, mbona wanarudia maswali
swali zuri la kwanini shilingi inashuka angalau wachadema amejibu kitaalam, wa udpd amesema wamuachie atajua cha kufanya
 
Unapendelea mamiss wewe; kumbe ndio dhaifu wako; Taifa kwanza miss ni very low kwa mtalaam kama wewe;teteteteteh night kick

lakini hawa wagombea wengine kwakweli wanaboa sana at least mgombea wenu kajitahidi kama lema alivyofanya
 
Mjadala umeisha; Chadema performance ktk mjadala huu ni 85%, wengine wamegawana 15% (eti wamefika na bla bla hawana hata data zozote kabisa), sijui wananchi wa Arumeru; lakini so far Nasari anaweza; sijui aliyekimbia mjadala (CCM+Jeremiah) yeye sijui ameenda ktk vitanda vya wapiga kura (siku wakija kwangu nitawakong'ota kama wezi).
Pia niseme hii italeta changamoto ambayo CCM hawaipendi; kwangu maanake mtu anayeogopa mjadala ni sawa kama simjui yaani anapata Zero (0) so tusikilizie tena sijui itakuwa lini na jimbo gani
 
Je ni asilimia ngapi ya wananchi wa Arumeru wanaangalia hiki kipindi kwenye TV? Hiyo ndio risk ambayo CCM wameamua kuichukua. Bora waonekane wamekimbia na mpira kwapani kuliko kuonekana wanazidiwa na maswali kwenye midahalo.

Tutaona tarehe mosi Novemba kama strategy yao imelipa au la.
 
mkuu sijaona swali la maana hapo sema tu mgombea wako amewazidi uelewa wenzake
obvious usingeona swali la maana ndio maana mkaweka mpira kwapani... LOL

hilo la kuzidi uelewa ndio point ya msingi, hatuchagui suti wala ushemeji, dogo ana upeo zaidi ya hao na yule aliyebeba mpira kwa[ani
 
Back
Top Bottom