Mchagua jembe? .....

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Eti wana jf kuna ulazima gani kwa mawazir wa serikali yetu jukumbushwa majukum yao? Na aliyewateua pale akigundua hawawezi kazi c awatimue? Wewe unahisi na ki2 gana kinawafanya wa2 hawa wakajisahau?
 
Back
Top Bottom