Mchaga na mtoto.

Bra-joe

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,562
986
Mtoto mmja alitumwa na mama yake akanunue mafuta ya taa dukani kwa mchaga, alipfika dukani, akampa mchaga chupa na noti ya sh elfu1, halafu akasema "mafuta ya taa" mchaga akauliza "kiasi gani" mtoto akajibu "yote" mchaga akajibu kwa hamaki "we mtoto unaakili kweli? yaani debe lote la mafuta nikupe kwa hiyo sh 1,000. yako" mchaga ktk biashara makini sana.
 
Back
Top Bottom