Mchaga apata ajali Switzerland

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,061
Kuna kaka mmoja wa Kichaga alikuja kumtembelea ndugu yake hapo Zurich.

Kukaa pale kama siku tatu akaanza kuzoea na kuamua kutoka siku moja kwenda kutembea peke yake mjini. Jamaa kwa kuwa alikuwa mcha Mungu sana basi kabla ya kuondoka akasali kwanza na ndipo akaanza matembezi. Ila akajisahau kuwa huku magari yanaenda kwa kutumia mkono wa kulia. Akiwa hajui hili wala lile alibebwa na gari na mkanda wa film ukakatika. Ambulance ilikuja na kumchukua kumpeleka hospital.

Mangi kaamka baada ya kama siku mbili. Akafungua macho na anashangaa kuwa kila kitu ni cheupe. Mashuka meupe, kuta nyeupe, kimya kabisaaa. Akaanza kujikumbusha nini kilitokea mara ya mwisho. Ndipo akakumbuka kuwa aligongwa na gari na ahhhh.................................
Akaanza kusikia njaa kali na kwa mbali akamuona mwanamke kavaa nguo nyeupe na mwenyewe mweupeeeeeee...... Mangi akafahamu kuwa huyo ndiyo atakuwa mmoja ya wale alikuwa akiwasoma kwenye biblia.

Akaamua kumwita : "Aiseee dada Malaika, hebu n-patie sahani ya mto..? mtori kweliii.........."

Weekend nje? njema kweli.
 
Duh haya shemeji zangu kazi kwenu, kumbe mna dream mtaukuta mtori akhera haha tehe
 
Duh haya shemeji zangu kazi kwenu, kumbe mna dream mtaukuta mtori akhera haha tehe

Kwani ungelikuwa wewe mkuu, ungelimuomba nini Malaika?

Kuna kigogo mmoja hapa Bongo nina imani angelimuomba Malaika, mhhh mhhh!!!! Sorry, watoto hawajalala.
 
kuna mhaya mmoja alikwenda huko Ulaya...sasa kuona snows kibao akauliza duh...kuna jamaa angu anafanyaga kabiashara ka mabarafu akija huku atafaidi kweli,halo itabidi nimpigia tunaweza fanya biashara kweli huku...haikuishia hapo...kwenda mbele akaingia kwenye underground cross road hapo ndo akatoa ya millenium aloposema >..HALO MAKARIAKOO HAPA YAPO MENGI sana...
 
Hivi kwa wachaga Mtori ndo main Dish katika mlo wao?

Ahh, Wachaga Mtori ni kwa kuanzia. Ni kama uji.

008.JPG
 
Dah Upo juu Sikongee..mate yananitoka kwa kuona hiyo ndimu hapo:D Ndo maana wamama wakichaga wakitoka kwnye uzazi mwndo ni mtori tu basi wanafutuka haswaa...
 
Kuna kaka mmoja wa Kichaga alikuja kumtembelea ndugu yake hapo Zurich.

Kukaa pale kama siku tatu akaanza kuzoea na kuamua kutoka siku moja kwenda kutembea peke yake mjini. Jamaa kwa kuwa alikuwa mcha Mungu sana basi kabla ya kuondoka akasali kwanza na ndipo akaanza matembezi. Ila akajisahau kuwa huku magari yanaenda kwa kutumia mkono wa kulia. Akiwa hajui hili wala lile alibebwa na gari na mkanda wa film ukakatika. Ambulance ilikuja na kumchukua kumpeleka hospital.

Mangi kaamka baada ya kama siku mbili. Akafungua macho na anashangaa kuwa kila kitu ni cheupe. Mashuka meupe, kuta nyeupe, kimya kabisaaa. Akaanza kujikumbusha nini kilitokea mara ya mwisho. Ndipo akakumbuka kuwa aligongwa na gari na ahhhh.................................
Akaanza kusikia njaa kali na kwa mbali akamuona mwanamke kavaa nguo nyeupe na mwenyewe mweupeeeeeee...... Mangi akafahamu kuwa huyo ndiyo atakuwa mmoja ya wale alikuwa akiwasoma kwenye biblia.

Akaamua kumwita : "Aiseee dada Malaika, hebu n-patie sahani ya mto..? mtori kweliii.........."

Weekend nje? njema kweli.
Dah kumbe ushaondoka sikonge siku hizi unabeba mabox Zurich?

Tuwe tunaagana basi kiongozi.
 
And when waChagga come up with some nasty jokes about y'all what will you say? That they are tribalistic?
 
Dah kumbe ushaondoka sikonge siku hizi unabeba mabox Zurich?

Tuwe tunaagana basi kiongozi.

Mkuu Chrispin,

Ndiyo matatizo ya Copy and paste.

Sikonge nimuachie nani? Mie na Sikonge ni kama Mmakonde na kupenda chini, tetee (inasemekana Mtwara hakuna madangulo kwa sababu hiyo).
 
And when waChagga come up with some nasty jokes about y'all what will you say? That they are tribalistic?

Huo utani aliandika Mchomvu anayeishi huko. Sasa ukitaka kumshambulia Mpare si wewe shambulia tu? Inanihusu nini mie? Mjumbe hauwawi ati.

Ukija na utani wako mkali, tutameza tu mate kwa uchungu na kusema "that one was real good."
 
Ahh, Wachaga Mtori ni kwa kuanzia. Ni kama uji.

008.JPG
Du! Mwanangu ase huo mtori mate yananito-toka kweli,yaani hapo ungeweka na serenget bariiiidi moja au mbili huyo mchaga angpona tehe tehe tehe tehe,mpeni mpwa wenu Chris
 
Du! Mwanangu ase huo mtori mate yananito-toka kweli,yaani hapo ungeweka na serenget bariiiidi moja au mbili huyo mchaga angpona tehe tehe tehe tehe,mpeni mpwa wenu Chris

Jirani yake Chris aliamua kuja Dar wakati wa likizo. Alipoteremka pale Railway Station (miaka hiyooo) basi akatoka hadi kile kituo cha mabasi karibu na Railway Station na akaamua kumpigia simu kaka yake aje amchukue:

Kaka: Sasa Masawee, uko wapi sasa hivi n'je n'kufuate?
Masawe: (akaachia simu inaning'inia na huku akionyesha kwa mikono)....n'lipotoka pale Station, n'lichukua mkunjo wa kwanza kushoto, baadaye n'kachukua mkunjo wa pili kulia na mwisho n'kachukua tena mkunjo wa tatu kulia na n'kaja hapa kwenye kijumba cha Posta (kibanda cha simu) n'kakupigia simu.
.........................
Baada ya mazungumzo ya shida saana, mwisho kaka yake kwa mbali akasikia jamaa alipo na akaja kumfuata. Baada ya likozo, Masawe akarudi Moshi na kufika huko akaanza kusimulia:
Masawe: Asieee Dar, wana KENSHUU nyingi! Yaani zipo kila sehemu na ni ndefu kweli kweli (KNCU ni ghorofa pekee miaka hiyo Moshi).

NB: Serengeti baridi siyo, hiyooo hapo chini.
chapati-chips-nyama-choma.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom