Amen. Kweli Mungu wetu sio maskini.Mtumishi wa Mungu Pst Fernande's kama amependelewa na bank akapewa loan sio dhambi, Mungu anazo njia nyingi za kufanya kazi zake mladi tuu awe mwaminifu. Soma Mwz 12: 35-36.
Amen. Kweli Mungu wetu sio maskini.Mtumishi wa Mungu Pst Fernande's kama amependelewa na bank akapewa loan sio dhambi, Mungu anazo njia nyingi za kufanya kazi zake mladi tuu awe mwaminifu. Soma Mwz 12: 35-36.
Nijuavyo mimi, anayekutuma kazi ndiye anayekufadhali ili kazi yake isikwame. Kama huyu mtumishi aliamua kukopa maana yake kanisa analiendesha kwa nguvu zake mwenyewe (Kibinadamu zaidi). Kama angekuwa alitumwa na Mungu, Mungu siyo maskini wala siyo ombaomba mpaka akope.
my take:
Kama ni kweli alikopa, anamdhalilisha Mungu au hakutumwa na Mungu ndio maana mambo hayaendi!
Mtumishi wa Mungu Pst Fernande's kama amependelewa na bank akapewa loan sio dhambi, Mungu anazo njia nyingi za kufanya kazi zake mladi tuu awe mwaminifu. Soma Mwz 12: 35-36.
Ya ngoswe?
Dini yake yeye na mkewe.ana miradi gani mkuu?
Samahani nilipitiwa ni KUTOKA 12: 35-36 Ebu soma hapo pole kwa usumbufu!!!!!!!!!!!!!
Dini yake yeye na mkewe.
Ndio wadanganyika mtie akili kuwa hawa viongozi wa dini ni sehemu ya tabaka tawala.
Sielewi ni kwa vipi unaunganisha hicho kisehemu cha biblia na mkopo wa Fernandes.
Kwenye hii mistari 35 & 36 neno:
1) Israelites - (plural) limetokeza mara 2
2) Egyptians - (plural) limetokeza mara 3
Sasa kama hapa biblia inaongelea plural (zaidi ya mtu mmoja) maana yake 'kikundi' je, Fernandes ni kikundi au ni mtu mmoja? Mara nyingi wajanja wamekuwa wanachomoa vi-mistari kwenye biblia kuhalalisha madhaifu yao ya ki-binadamu.
Mch Veno Fernandes wa agapr TV alikopa TSHS 5bils Kutoka Tanzania Investment Bank na Sasa ameandaa Nyaraka za Uongo Kuonyesh Kwamba ameingia hasara katika Miradi yake na hivyo kutaka Benk imufikirie kuhusu kurejesha fedha hiyo.
Kutokana na Nyaraka alizowasilisilisha inaonyesha kuwa amepata hasara kubwa sana Kwenye miradi Yake!!!!!!!!!
Mpendwa si umeona kibali kimetoka kuwa wachukue vitu, kwa hiyo utajua kuwa dhahabu na mali zote ni za bwana, Bank inakopesha na huyu mtumishi kwa kupitia ngongo wa kanisa kakopa. Hivyo ana haki kama taasisi nyingine yoyote kufanya biashara na kurudisha mkopo,kwani kuna malalamiko kibenki kuwa kashindwa kulipa?????????Sielewi ni kwa vipi unaunganisha hicho kisehemu cha biblia na mkopo wa Fernandes.
Kwenye hii mistari 35 & 36 neno:
1) Israelites - (plural) limetokeza mara 2
2) Egyptians - (plural) limetokeza mara 3
Sasa kama hapa biblia inaongelea plural (zaidi ya mtu mmoja) maana yake 'kikundi' je, Fernandes ni kikundi au ni mtu mmoja? Mara nyingi wajanja wamekuwa wanachomoa vi-mistari kwenye biblia kuhalalisha madhaifu yao ya ki-binadamu.
Fungu lako hili hapa "35 Wana wa Israeli wakafanya kama neno lile la Musa; wakataka kwa Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu, na mavazi.Samahani nilipitiwa ni KUTOKA 12: 35-36 Ebu soma hapo pole kwa usumbufu!!!!!!!!!!!!!
Ni yule mhindi ama......................
Soma kutoka:3: 22Fungu lako hili hapa "35 Wana wa Israeli wakafanya kama neno lile la Musa; wakataka kwa Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu, na mavazi.
36Bwana akawajalia kupendelewa na Wamisri hata wakawapa kila walichokitaka. Nao wakawateka Wamisri nyara."
Sasa ndugu yangu tafsiri yako ni ipi hapa, maana inasemekana Mch. Fernandes amekopa sio kuteka nyara, labda kukwepa kulipa sasa ndio kuteka nyara au wasemaje? Mmekuwa na tafsiri nyepesi za kibiblia ndio maana mmejikuta mkipotezwa au mkipoteza watu.
mkuu
kwahiyo unaamini kabisa kwamba alipeleka business plan ya dini pale TIB akapewa mkopo
au?
ana miradi gani mkuu na wasoma magazeti wake wanaokohoa kila siku?
hahaha ndo mana anamshambulia Nyerere kama defensive mechanism, maana anajua kuna kuuzwa kwa mali alizowekea rehani. Ila wabongo sie, sijui! unaweza kuona kachomoka.