MchALIPHONCE TEMBA NI MPIGA DEBE WA CCM NA ALITIMULIWA UDSM BAADA YA KUPINGA MABADILIKO YA KATIBA NA KUPINGA MAANDAMANO YA CDM UKIMBI WA NKURUMA MWAKA HUU. Temba Ndiye alikuwa mpiga Debe wa Kikwete na aliitwa Dododoma na Yusuma Makamba akamkabidh Jk bible na kumuhakikishia ushindi kabla hajachakachua kura.Baadaye aliungana na Mch Rwakatare na kusema Jk chaguo la Mungu.Mch Tembe ndiye aliyehamasisha watu kuiunga na Deci na ni mpiga debe wa Babu loliöndo
summarize labda ndo utaelewa, mi nemeona kama ni timbwilitimbwili la asha ngedereNimesoma mara tatu lakini sijaelewa kitu!
jamaa ni mhanga wa deciKwa mtazamo wa haraka sana,una hasira na Temba (inawezekanammehitilafiana pahala). Hebu jipange uandike kitu cha kueleweka. Contents zako ziendane na heading na kisha uwe specific ktk madai yako.
Ulivyoandika ni kama vile unasikia watu wanaongea nyumba ya jirani na kisha wewe unaandika. Hii siyo style ya JF.
Halafu just a point of caution,kabla hujasema watu wa Mungu,jihoji kwanza na uhoji facts zako. Ni ushauri tu ndugu............