Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

Amemwambia Nchemba? Wewe una lako jambo, Nchemba amewaumiza jana ndio maana unahaha, nchemba hajawahi kufumaniwa

Hajawai kufamaniwa??? Je, ile ishu ya Igunga ilikuwa nini? Okay, mpaka umkute na mkeo anamla ndogo ndo utajua alifumaniwa au la....
 
Wachungaji tunaombea wazinzi kama Mwigulu na Dr Kubwa Jinga (KJ), ili waache zinaa na wamrudie Mungu - By Rev. Msigwa
 
i can understand, not everyone can connect the dots, jamaa kaongea kwa fasihi sana, ni lazima uwe unajua kujumlisha na kutoa ili kujua anasema nini, kama mtu katoka fb leo hawezi kuelewa hata kidogo nini msigwa alikua anaongea

he who laughs last think slowest!


Msigwa Theology imelala pale .Sasa Chemba kazi kwake .Nimemkubali Msigwa I have never came across to him before duh!!!

Watanzania wanaona na wataamua .
 
Vichwa kwa Pumba kama hiyo? Kama ni hivyo bora tu kusiwe na Upinzani hapa Tanzania.
The unseen is illustrated by the seen.
mkuu unaweza kuniambia sehemu gani kakosea kuongea hapo? umemsikiliza vizuri? naomba uzungumze uhalisia kwa yale aliyoyazungumza. halafu unakumbukumbu vizuri wewe wakati wa uchaguzi igunga? ni jambo gani lililotokea la aibu kwa nchemba?
 
msigwa theology imelala pale .sasa chemba kazi kwake .nimemkubali msigwa i have never came across to him before duh!!!

Watanzania wanaona na wataamua .

watajuta wamebip hata salio halitoshi jamaa kapokea mpaka salio la kibip kwishney
 
Amemwambia Nchemba? Wewe una lako jambo, Nchemba amewaumiza jana ndio maana unahaha, nchemba hajawahi kufumaniwa

Rejea kwenye kumbukumbu zako igunga uchaguzi mdogo nchemba alifanya nini kituko cha aibu kwa taarifa yako alitembea na mke wa mtu halafu FYI mbunge mwingine wa ccm wa jimbo la geita alimlazimisha mhudumu wa bunge kufanya nae mapenzi i mean alikuwa anambaka kesi hiyo ikafikishwa kwa katibu wa bunge ikamalizwa kimya kimya angekuwa ni wa chadema lol mpaka leo hii jina lingegeuka chama cha wazinzi ila ni ccm ata wao wasafi. kama sio unafiki ni nini??? na bado tunayafahamu mengi sana ngoja ifike 2014 nitaanza kumwaga sumu kwa kila mmoja na zote ni za mle mle hakuna cha unafiki wala nini ni ukweli na uwazi.
 
Wana bodi kitu ambacho nashindwa kuelewa wabunge wa CCM badala ya kuisimamia na kuishauri serikali wao ndio kwaaanza wanaitetea dhidi ya udhalimu wa watanzania
 
Jamani nikiangalia Makamanda wa Chadema napata tumaini jipya, najua Mungu amesikia kilio cha watanzania Watu wenye akili pevu , watu waliopikika wakaiva , watu wanaoweza kulivusha taifa hili na kulipeleka kwenye neema wameanza kuchomoza .Hongera sana Chadema tunawaona tunawakubali. Mimi sio shabiki wa siasa lakini naburudika kuona tumaini jipya likichomoza nilishajikatia tamaa zamani, lakini sasa naona tumaini, Mbowe akizungumza unapata faraja , Silaa, Kabwe, Msigwa , Mdee , Tundu Mdee mnatupa matumaini kazeni kamba tuwakabidhi usukani na Mungu atawasimamia
 
Yuko juu sana ilibidi ajitune waelewe hawa vilaza wakina Migulu wanaotoka na wake za watu....
 
kweli nimeamini mbunge mmoja wa M4C ni sawa na wabunge 20 wa CCM
mchungaji anaongea reality bila kukwepa neno.
kasmuumbua vema captain komba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom