Mch. Mwakasege-Dar 19 Feb 2012

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
Habarini!

Kwa wanaopenda kuhudhuria mafundisho ya Mch. Mwakasege, atakuwepo viwanja vya Biafra-Dar kuanzia tarehe 19 Feb 2012.

Wote mnakaribishwa.

Mbarikiwe sana!
 
Updates: semina imeanza leo rasmi mpaka tarehe 26 Feb.

Ni baraka na faraja kushiri japo kwa kusikiliza tu.
Somo la semina hii ni ' Mungu asipokujibu maombi yako, muulize ni kwa nini hakujibu.'

Very interesting....

BTW, kwa wakatoliki, jumatano ya tarehe 22 Feb ni ya Majivu tayari kwa kuanza kwaresma.

Nawatakia mfungo mwema!
 
Asante kwa Info..

Kwa kuwa ni jirani na makazi yangu,nadhani mapepo machafu hayatasogelea Block 41 yote...
 
Namshukuru Mungu leo nilikuwepo uwanjani binafsi nimebarikiwa sana kwa ambao hawataweza kufika mnaweza kumsikiliza kwenye radio wapo,sauti ya injili moshi,radio five na kwenye mtandao kupitia ww.kicheko.com au ww.christopher mwakasege.org
 
Kongosho ulikuwa bhana tumekumic jamvini au babu alikufungia ndani vijana wasikuone.
 
Mwambie SL akuwakilishe bana.
Inatia uvivu kupanda daladala sana kwa ajili ya kuhudhuria hasa kama unatokea Tandika au Mbagala.

Lakini ukifika pale haujuti. Kama ni mwamini njoo tu, you won't regret it.

Nilitamani hiyo semina lakini mda umekuwa kikwazo. Sweetlady anakusalimia yupo hapa pembeni
 
Mwambie SL akuwakilishe bana.
Inatia uvivu kupanda daladala sana kwa ajili ya kuhudhuria hasa kama unatokea Tandika au Mbagala.

Lakini ukifika pale haujuti. Kama ni mwamini njoo tu, you won't regret it.

Ana kipaji cha kipekee yule baba...!

Mi nashangaa kitu kimoja.. Anasikilizwa na madhehebu yote ya Kikristo! Si Pentekoste pekee...

Kweli Mungu azidi kumtia nguvu,maana ni baraka kwa wengi..
 
atakuwa Dar kuanzia Tarehe 23Sep 2012 katika viwanja vya Jangwani.

Karibuni!
 
Back
Top Bottom