Mch msigwa sasa hivi ndani ya tbc.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
wadau kile kichwa cha data kiko ndani ya tbc pamoja na mh juma nkumba kinashusha data kama kawa.
kinawatahadharisha watanzania kuwa magufuli ni high creaming caparsity kwa hiyo analewesha watu na data.
umri tulionao ni tofauti na maendeleo tuliyonayo(yaani mtoto wa mika 12 anashika nafasi ya pili chekechea)
 
Dah! Aisee msigwa anazungumzia kuhusu nini jamaa hatari sana kwa data nanikubali sana kile kichwa!
 
ha ha ha nimefurahishwa na huo mfano wa mtoto wa miaka 12 anashika nafac ya 2 chekechea!it is a valid example for our nation, 50 yrs of independence lakini maendeleo mhhh
 
Back
Top Bottom