Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mch Mhe Msigwa (MB) na Mhe Sugu(MB) watua Arumeru usiku huu tayari kwa uzinduzi kesho

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by chachana, Mar 10, 2012.

 1. c

  chachana Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho ni mtifuano arumeru.
  Mhe msigwa mbunge wa iringa mjini na mhe sugu mbunge wa mbeya mjini wameingia usiku huu jimboni arumeru tayari kwa uzinduzi wa kampeni za ubunge.
   
 2. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,492
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Yani sugu chalii angu baadaye ukipande steji we tupe tu mstari machalii mana huku ndo tumejaa mahipop wa ukweli arifu
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,670
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Sera kwanza
   
Loading...