Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,139
- 12,284
Mimi imani ilinitoka miaka mingi iliyopita,ama nikiri tu kwamba nilidumu na imani kipindi nikiwa mtoto ila imani iifika tamati nilipopata ufahamu...
Sikatazi watu kutapeli,watapeli tu maana kuna wakati mambo hayaendi bila kulaghai esp kwenye mahusiano ila kutumia mwavuli wa dini/imani kutapeli nadhani ni dhambi kubwa kuliko hata lile kosa alilolifanya ndugu Ibilisi la kutaka kumpindua Mungu!