Mch. Fernandez amlaumu Nyerere kwa kutaifisha mali za wahindi!

@MKWECHE. Nyerere alitaifisha viwanda na mashirika gani ya wahindi na watu binafsi? Ungesema shule na mahospitali ningekuelewa. Na bado utaifishaji ulikua kwa nia ya kusaidia wananchi wote.
 
I had the very similar opinions.

Umaskini tunaoupata nchini ni laana juu ya ukwapuaji wa mali za watu. Alichokifanya Nyerere ni wizi tu. Huwezi kuchukua mali za watu kwa dhulma halafu utegemee neema.

Mchungaji umenena kweli na kwa hili mimi nakuunga mkoni 100%. Utaacha nihamie kwenye channel station yako.

Kikwebo.

muhindi mwingine,
 
Jmushi.
99% viwanda vya Tanzania ni vya wahindi...

kama idadi hiyo ingekuwa ni wazungu tanzania ingekuwa pepo.

viwanda vya wahindi vina ajiri asilimia kubwa ya watanzania wa kima cha chini, lakini malipo wanayo lipwa ni aibu kubwa, na unyanyasaji wanofanyiwa ni wakutisha. Wanaolipwa mishahara mikubwa ni ndugu zao wanao toka bombai na bangaloo moja kwa moja, hata hawana ujuzi wa kazi wanazokuja kufanya lakini wanapewa ubosi.

ni wahindi wachache sana ambao wamejenga nyumba za kuishi kwenye makazi ya watu wengine, wao wanangangania tu kukaa kwenye nyumba za national housing kodi wanalipa sh 7000 kwa mwezi. hawa watu hawana maendeleo yeyote kwa nchi hii.

katiak orodha ya walipa kodi wakubwa 20 katika mchi hii sijui kuna wahindi wangapi
 
Huyu mgoa (Fernandes ni mgoa) hana usafi hata chembe wa kumkosoa Mwl. Nyerere. hana!
 
kama idadi hiyo ingekuwa ni wazungu tanzania ingekuwa pepo.

viwanda vya wahindi vina ajiri asilimia kubwa ya watanzania wa kima cha chini, lakini malipo wanayo lipwa ni aibu kubwa, na unyanyasaji wanofanyiwa ni wakutisha. Wanaolipwa mishahara mikubwa ni ndugu zao wanao toka bombai na bangaloo moja kwa moja, hata hawana ujuzi wa kazi wanazokuja kufanya lakini wanapewa ubosi.

ni wahindi wachache sana ambao wamejenga nyumba za kuishi kwenye makazi ya watu wengine, wao wanangangania tu kukaa kwenye nyumba za national housing kodi wanalipa sh 7000 kwa mwezi. hawa watu hawana maendeleo yeyote kwa nchi hii.

katiak orodha ya walipa kodi wakubwa 20 katika mchi hii sijui kuna wahindi wangapi

Mkuu, unaweza kuniambia pepo hiyo ipo kwenye Migodi ya dhahabu, au Migodi ya Uranium, sababu ni ya wazungu!

Kwa hiyo sehemu zenye Migodi watu wao wanaishi kama wapo peponi?
 
I had the very similar opinions.

Umaskini tunaoupata nchini ni laana juu ya ukwapuaji wa mali za watu. Alichokifanya Nyerere ni wizi tu. Huwezi kuchukua mali za watu kwa dhulma halafu utegemee neema.

Mchungaji umenena kweli na kwa hili mimi nakuunga mkoni 100%. Utaacha nihamie kwenye channel station yako.

Kikwebo.

Hamia tu tena uende na kiingilio. Wao walikuja na nini hapa, na kwa nini wakazitumbulie hizo mali Canada na UK? Hawana wema na bongo hawa. Hivi unakumbuka wahindi walivyosumbua kwenye ishu ya korosho huko kusini. Na kama si yule RC ex-mjeshi kutumia ujeshi wake huenda wangeifanya vibaya hata serikali yetu.
 
kama idadi hiyo ingekuwa ni wazungu tanzania ingekuwa pepo.

viwanda vya wahindi vina ajiri asilimia kubwa ya watanzania wa kima cha chini, lakini malipo wanayo lipwa ni aibu kubwa, na unyanyasaji wanofanyiwa ni wakutisha. Wanaolipwa mishahara mikubwa ni ndugu zao wanao toka bombai na bangaloo moja kwa moja, hata hawana ujuzi wa kazi wanazokuja kufanya lakini wanapewa ubosi.

ni wahindi wachache sana ambao wamejenga nyumba za kuishi kwenye makazi ya watu wengine, wao wanangangania tu kukaa kwenye nyumba za national housing kodi wanalipa sh 7000 kwa mwezi. hawa watu hawana maendeleo yeyote kwa nchi hii.

katiak orodha ya walipa kodi wakubwa 20 katika mchi hii sijui kuna wahindi wangapi

Umenena vyema ila sikubaliani na hapo nilipo bold. Suala linaloturudisha nyuma hapa siyo rangi, kabila wala asili ya mwekezaji bali ni mifumo mibovu ya kifisadi inayosababisha wafanya biashara wakwepe kodi kwa kusaidiwa na wafanyakazi wa umma waliopewa dhamana ya kukusanya kodi na kuitumia kwa maendeleo ya nchi. Wewe jaribu kufanya utafiti kidogo tu kujua ni wahindi/waarabu wangapi wameajiriwa TRA au Serikalini halafu ujiulize iwapo bila ya msaada wa wenzetu ngozi nyeusi wanaweza kukwepa kodi. Kwa mfumo huu tulionao hata ukiondoa wahindi wote ukaleta wazungu watatuibia tu. Tena wazungu wanatuibia kwa mikataba tunayosaini sisi wewe wenyewe na kujifungia fursa za kudai haki mahakamani tunapogundua tumeibiwa.
 
I had the very similar opinions.

Umaskini tunaoupata nchini ni laana juu ya ukwapuaji wa mali za watu. Alichokifanya Nyerere ni wizi tu. Huwezi kuchukua mali za watu kwa dhulma halafu utegemee neema.

Mchungaji umenena kweli na kwa hili mimi nakuunga mkoni 100%. Utaacha nihamie kwenye channel station yako.

Kikwebo.
Hivi umezaliwa mwaka gani wewe?
 
Si kweli kama walizipata kwa kuiba. Wahindi wanajulikana kwa utafutaji wao na umahiri katika kufanya biashara.
Hivi wale wahindi wanaokabiliwa na kesi za EPA na tuhuma za RADA wamezipata fedha hizo kwa umahiri kweli!
 
watu wajanja, wanaingia kwa njia ya dini. nwakishaweka mizizi ndio hali inakuwa tofauti......ngoja tuone itakuwaje...
 
nilikuwa nadhani ni mmexico huyu anayejiita nabii!ebu nikachome king'amuzi chake..sina mapenzi na wahindi.
 
Hivi wale wahindi wanaokabiliwa na kesi za EPA na tuhuma za RADA wamezipata fedha hizo kwa umahiri kweli![/QUOuTE]

Usichanganye madda. Hapa tunazungumzia habari za utaifishwaji wa rasilimali za watu chini ya azimio la arusha. EPA ilikuwa haijulikani. After all..issue ya EPA wako ndugu zetu kibao tu..je ni stahiki kutaifisha mali za watu weusi kama kina Mengi leo kisa kulikuwa na Rajab Maranda, Husein Farijala..n.k.

Nyerere alichofanya ni dhulma na dua ya mwenye kudhulumiwa inafanya kazi yake..wacha Tanzania iendelee kuwa shama la bibi.
 
Anatumia maandiko isivyo sahihi. Anatakiwa kwenda kurudia kuusoma ushauri wa Paulo kwa Timotheo
"Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli"

Asidanganye watu, tumwuulize kabla ya 1967 wahindi na wagoha walikuwa wamewaibia na kuwadharumu watanganyika kwa kiwango gani?

Awe na kawaida ya kutumia andiko kwa halali siyo kulilazimisha andiko likubaliane na anacho kiwaza.[/QUOTE]

Hivi nyinyi kwanini kila mtu anayesema ukweli kuhusu Nyerere siku zote mnampinga? Huyu Mchungaji kasema kweli tupu. Big up Mchungaji Fernandez. Nyerere alikuwa fisadi na dhulumati wa mali za watu na huko aliko Mungu anamuhukumu kwa makosa yake.
 
Kuna mahali Bible inamuita Nebcadneza 'mtumishi' wa Mungu. Utumishi unaweza kuwa kwa ajili ya kutimiza kazi fulani iwe nzuri au mbaya, kwa sababu huyu anajiita mtumishi nasita kumuongelea sana, niliwahi kuwa ofisi moja na dada yake anajiona mzungu mno, hata uhindi ulio karibu nao wanaukana, baba yao ni fundi mzuri sana wa magari,hiyo chuki siyo bure inawezekana zamani hizo fagio la Nyerere liliipitia familia yao... Itafaa atwambie pia wahindi walifanya dhambi gani hadi ikawezekana kunyang'anywa mali zao, au wahindi wakikutwa na mabaya siyo laana ila watanganyika wakikutwa na mabaya ni laana!!
 
I had the very similar opinions.

Umaskini tunaoupata nchini ni laana juu ya ukwapuaji wa mali za watu. Alichokifanya Nyerere ni wizi tu. Huwezi kuchukua mali za watu kwa dhulma halafu utegemee neema.

Mchungaji umenena kweli na kwa hili mimi nakuunga mkoni 100%. Utaacha nihamie kwenye channel station yako.

Kikwebo.

wewe una uhakika na unachokisema? - una uhakika gani kuwa nao hawakukwapua jasho la wakulima wetu wanyonge (soma historia ya "lawalawa" na kwa nini vyama vya ushirika vilianzishwa Tanganyika) na madini na vito kuporwa - kuna mweusi gani alikuwa na uwezo na hasa ruhusa kutoka kwa wakoloni kugusa mali hizo na nyara za nchi kama sio waasia wakishirikiana na wakoloni wa kiingereza. Wa Tanganyika weusi wajilaumu wenyewe kwa vile nyerere alikuwa ana imani kubwa kuwa wangemuelewa. huwezi kumlinganisha nyerere na Mugabe - Nyerere hakuwagawia watu binafsi hayo majumba ya waasia yaliyotokana na ufisadi uliopata baraka ya wakoloni.
 
Huyo jamaa ni msanii mbona anajidai ni mchungaji lakini sasa amefungua kapuni ya Agape Associate ianjishugulisha na mabo mengi sana ya kibiashara.

sasa TV yake ya Agape ni mpaka ulipie TIN ndio unapata matangazo,na tukumbuka katika mkutano wa Mh Pinda na waekezaji wa Sumbawanga na maeneo ya kusini alialikwa kama mmoja wa wafanya biashara wakubwa.sasa yeey anausafi gani mpaka amseme Nyerere?

sasa hivi tunapata faida gani kwa mali wanazomiliki wahidi? kama wahindi kuachiwa mali zote za nchi ndio kigezo cha sisi kuwa na mafanikio??
umedanganya mambo kadhaa hapa. ATN ni free ila ana decoder anauza. Pili ni wapi imeandikwa hairuhusiwi mchungaji kufanya biashara halali? Unless ukionesha uharamu wa biashara yake post yako haina mashiko!
Kuhusu hayo maneno, kwa kuwa sikusikia alichosema na kuuelewa muktadha nitakaa kimya. Anaweza kuwa sahihi au wrong!
 
Mh kuna watu akili zao wanazijua wenyewe! Ngozi toka lini ikaiba? Yaani ukiwa muhindi automagically ni mwizi? Huu ni upunguani. Wizi ni tabia na tabia ni kwa mtu!
 
Waswahili husema ukimzoea sana Mbwa atakufuata hadi msikitini! Huyu Mhindi amefika hatua ya kuwa analyst wa siasa zetu sasa! Yaani keshawanyonya waumini wake maskini hajatosheka, kajifanya mtume na nabii hatujasema, mkewe ndo mchungaji kiongozi hatujasema, kabadilika kutoka uhubiri mpaka uwekezaji hatujasema sasa anaanza kupekuwa siasa zetu! Shame on him. Anatutafuta I promise him atatupata tu.
imekuuma yeye kuwa yote hayo? Khaa, yaani unaongea pumba hata aibu huoni?
Mungu akurehemu japo uitumie akili njema aliyokupatia!
 
Waswahili husema ukimzoea sana Mbwa atakufuata hadi msikitini! Huyu Mhindi amefika hatua ya kuwa analyst wa siasa zetu sasa! Yaani keshawanyonya waumini wake maskini hajatosheka, kajifanya mtume na nabii hatujasema, mkewe ndo mchungaji kiongozi hatujasema, kabadilika kutoka uhubiri mpaka uwekezaji hatujasema sasa anaanza kupekuwa siasa zetu! Shame on him. Anatutafuta I promise him atatupata tu.

Kumbe ni mhindi!!! Hana jipya huyu bali naye lazima atakuwa ni fisadi tu anayeneemeka kupitia mgongo wa magamba./
 
Back
Top Bottom