Mch: Dk rwakatare atoa mpya tume ya maadili ;shetan amepoteza fomu zangu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,147
Mbunge wa viti maalum mh dk rwakatare -mch; ametoa mpya pale alipoulizwa zile fomu zako ziko wapi akadai nilizileta sikunyingi na nazanishetan atakuwa amezipoteza ili kuniaribia... Alisema hayo wakati akihojiwa na getrude cynus
katika utetezi wake mch alitumia maneno kama pepo,shetan

mch huyo alisema yeye alijaza hizo fomu siku nyingi ..lakini anashangaa kilichotokea..mambo mengine ni shetan tu kila mahali yupo na kusema kazi ya yeye kujaza ni dk kumi tu na sio mtihan wa cambridge hadi nshindwe kujaza

dk rwakatare mch;alionyesha nakala ya fomu anayodai kujaza muda mrefu na kusema kila mwaka amekuwa akijaza hata hivyo aliwambi tutaamini vipi kama ni halali pengine ulikuwa nayo nyumban najana ukaitoa copy...je hukusaini kokote uliporejesha fomu ??alihoji mwanasheria akasema wakati wa kuchukua lazima usaini kurudisha sio lazima usaini baadhi ya mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo

mwanasheria:
Unasema ulijaza fomu mbon azikufika kwetu

mch;dk;mh mb rwakatare:
Hilo litakuwa ni pepo tu mimi nilirejesha na mungu ni shaidi

mwanasheria:
Umengangania shetan hivi huyo shetan ni nani?

Mb rwakatare: Ni roho chafu kazi yake ni kuharibu nakufanya mambo yaende vibaya

mwanasheria:
Huoni anakupeleka vibaya na unapoendelea kumtaja uoni atakumaliza kabisa

mh mb :
Kimya

mwanasheria
mwanasheria aiomba baraza hilo litupilie mbaliutetezi wa rwakatare na amekiri kutofanya ufwatiliaji

ni hayo tu na baada ya hapo alipewa fomu nyingine na kuhadiwa kutumiwa barua ya karipio kali


 
Hii habari imetoka wapi?, onyesha source plz. Bado naamini kuwa mahojiona ya baraza na watuhumiwa ni confidential, wewe hii habari umeipataje. Bado naamini niya kutunga. Hata hivyo mimi nahoji juu ya ufanisi wa tume hiyo. Wabunge kadhaa wamedai kuwa fomu zao walizikabidhi ofisi ya bunge mda mrefu , kama hivi ndivyo basi tume ilipaswa kuwasiliana na ofisi ya bunge kwanza kabla ya surmon.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom