MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

HIyo ndiyo typical ya maisha ya baadhi yetu... ujanja mwingi mbele giza!!!
Ila ndio hivyo tena MC keshatangulia, kazi kwa huyo dada na itabidi kujihadhari na hiyo "staili nyingine" maana sijui ni ipi hiyo hadi inakausha pumzi

Namuonea huruma sana huyo mama maana ndio basi tena wooote tushajua na sijui ataishi vipi

watoto wa marehemu na mama yao pia kaazi kwelikweli

Hata hiyo harusi ishaingia sumu, yaani nzi kafia juu ya kidonda... duh!

ndio hapo nasemaga tamaa zinatupeleka pabaya...ni baba mwenye mke mwema na familia bora, namckitikia frnd wangu mackini alivyokuwa anaelewana na baba yake mpaka raha...Mungu tusamehe tu.
 
Hakika lilisemwa kila lifanyikalo gizani litawekwa mwangani..... hebu fikiria kisha ubadili mwenendo wako ewe kiumbe wa mja
 
shetani alimpitia!!! bora hata yeye aliyekifa, as you say pole kwa wife na yule hubby aliyesaidiwa mke na marehemu!!!! too bad

sijui style gani hii ilimfanya jamaa akadead.....tuijui ili angalau tuwe keaful tusije tukaua!!!!!!!1
Hiyo staili inaitwa PELEKA-UJUMBE!
 
WE NYAMAYAO,
kuna majimama mengine ni majitu ya mikiki mikiki.sasa let's take jamaa alikuwa na PUMU!.....

hana pumu...pressure/kisukari....mbona nijuavyo hayo makubwa hayanaga mikiki mikiki...mnapenda kuchezea tu hayo makalio tu.
 
Makali.o siyo? Kuchezea makali.o ndio mtu aresti in piis? Kuna kitu kimetendeka pale lazima!
 
Laligeni hawa wahusika ni wachaga wa Machame na sio watu wa pwani, mambo yenu ya TIGO kwao mwiko inaweza kuwa alipewa staili nyingine tu!!
. Bulesi, kwani kula au kuliwa tigo ni suala la umachame? Big No!! Siku hizi mambo yamekuwa vurugu tu watu wanakamua bila kujali ni kabila gani.Teknohama inafanya kazi sio pole pole!
 
Makali.o siyo? Kuchezea makali.o ndio mtu aresti in piis? Kuna kitu kimetendeka pale lazima!

c huyo G alisema ma mama makubwa yana mikiki ndio nikamwambia mnayapendelea makalio tu mikiki waitoe wapi?....kurudi kwenye thread mzee wangu Lema atakuwa ni dawa alizokunywa na magonjwa yaliyokuwa yanamsumbua ndio yalipelekea hali hii kutokea......yaani nikimfikiria mkewe/watoto(esp ma frnd) najickia vibaya sana, nahic wanavyo feel kwa sasa, eeh Mungu pitisha mbali hii balaa.
 
Hahaha! Got Ya! Kumbe wewe potabo! Hehehe! Ndo nimejua leo! Si utani ma mama makubwa hamna kitu kwenye 6 kwa 6. Yanachoka vibaya. Ukutane na kipotabo kinachojua kujituma staili zote...... we acha tu! Hapo kwenye braketi, huyo mama ziraili unamjua?
 
SMU hata sielewi, cjui atarudi kufungasha kila kilicho chake na kuongelea juu ya watoto(kama wanao) ili wajue mambo yataendaje? hivi kwani haiwezekani huyu mume akamsamehe mke wake kwa hilo kosa?

''Assume'' angekuwa kafa mwanamke, na mwanaume kapona, halafu huyo mwanamme ni mumeo, je ungemsamehe?
 
Hahaha! Got Ya! Kumbe wewe potabo! Hehehe! Ndo nimejua leo! Si utani ma mama makubwa hamna kitu kwenye 6 kwa 6. Yanachoka vibaya. Ukutane na kipotabo kinachojua kujituma staili zote...... we acha tu! Hapo kwenye braketi, huyo mama ziraili unamjua?

mama ziraili unamaanisha mjane aliebaki? kama ndio ooh yeah, naijua familia first born wao ni ma best frnd......huko kwingine naomba niachie hapo mana hapa c tunaomboleza Chriss.....halafu nilikuwa nina hamu ya kuja mcbani kule ili tuonane ile mbaya yake sema mr nae c unajua tena...nilimnunia na kumfungia huduma zote muhimu.
 
jamani mambo mengine hata kufikiria nashindwa, i feel for the kids wa huyo jamaa, hata shuleni watakuwa wanachekwa, they need counselling.Huyo mkewe pia, i can imagine the pain of the betrayal hata sijui kama atamzika mumewe kwa amani, i mean atamsamehe wakati anamzika? namuombea Mungu ampe amani na utulivu asamehe.
Kwa huyo mke wa mtu naye mumewe labda ashamtangulizi mizigo yake kwao, what about their kids, its terrible. Hayo yoe tis, kumi ni huyo alieyetangulia mbele ya haki huku mbele kuna kibao kimeandikwa usizini, hata sijui ndo anaexplain nini kwaa mola wake. mambo mengine unaweza kuomba uwe unaota tu.
 
...:D:DDAH!
enewei.....WE MOVE ON
 
HIVI MAMA,
ni nani anahitaji KUSAMEHEWA HAPA?????ai miiin nani ni mdhambi hapa KIIMANI?
 
jamani mambo mengine hata kufikiria nashindwa, i feel for the kids wa huyo jamaa, hata shuleni watakuwa wanachekwa, they need counselling.Huyo mkewe pia, i can imagine the pain of the betrayal hata sijui kama atamzika mumewe kwa amani, i mean atamsamehe wakati anamzika? namuombea Mungu ampe amani na utulivu asamehe.
Kwa huyo mke wa mtu naye mumewe labda ashamtangulizi mizigo yake kwao, what about their kids, its terrible. Hayo yoe tis, kumi ni huyo alieyetangulia mbele ya haki huku mbele kuna kibao kimeandikwa usizini, hata sijui ndo anaexplain nini kwaa mola wake. mambo mengine unaweza kuomba uwe unaota tu.

mie nimeichukua hii pic nikaizngusha kila upande ku imagine kama ndio ingekuwa mie ndio huyo mwanamama uliefiwa humo hotelini nikakosa pic halic....kwa familia iliyoachwa kwa kweli inackitisha sana tena sana...jana nilijaribu kumcal frnd wangu kumpa pole matokeo yake ni kapokea fone ni kuliaa tu hakuweza kuongea lolote.....yaani Mungu atunusuru jamani, halafu siamini kabisa jinc mzee alivyokuwa descent, loo kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.
 
Hahaha! Got Ya! Kumbe wewe potabo! Hehehe! Ndo nimejua leo! Si utani ma mama makubwa hamna kitu kwenye 6 kwa 6. Yanachoka vibaya. Ukutane na kipotabo kinachojua kujituma staili zote...... we acha tu! Hapo kwenye braketi, huyo mama ziraili unamjua?

hahaa Iribini nimekusoma deeply leo!!!! wee una laana kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom