mbwembwe za graduation

unknown animal

JF-Expert Member
Jul 18, 2012
337
51
hivi wadau unakuta katika hali ya kawaida mnposoma watu wenye camera especially digital huwa wanahesabika lakini wakati wa mahafali wote wanamiliki,sasa je huwa wanaacha nyumbani au inakuwaje
 
Inabidi mods waanze kufanya interview kabla hawajakubali request, inawezekana JF imeingia mirembe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom