jamani kwakanuni za uingereza haiwezi kuchukua mchezaji anayetoka kwenye nchi iliyo nafasi chini ya 75 katika viwango vya FIFA, ni heri kafiri akufaae kuliko Islamu asiyekufaa
jamani kwakanuni za uingereza haiwezi kuchukua mchezaji anayetoka kwenye nchi iliyo nafasi chini ya 75 katika viwango vya FIFA, ni heri kafiri akufaae kuliko Islamu asiyekufaa
....Tatizo wachezaji wa Tanzania wanashindwa kujitambua na pia hawako committed na kile wanachotaka kufanya. Athumani China alikwenda Uingereza kwenye miaka ya 90 akapata timu kule na kwa maelezo ya Tiddo Mhando wakati ule alipokuwa BBC aliwahi kusema katika kipindi cha habari na michezo radio Tanzania kuwa China aliwavutia sana wale jamaa kiasi cha kukutanishwa na board ya ile timu ili waweze kuzungumza nae nini cha kufanya. Lakini jamaa akadai maisha ya kule yamemshinda eti yuko mpweke hivyo anashindwa ku-coop akaamua kurudi bongo, Simba wakamdaka airport wakampa Toyota starlet kachezea Simba msimu mmoja kwishney!!!! wakati angebaki uingereza alikuwa na chance kubwa ya kusajiliwa na kuonekana na klabu zingine za Ulaya. hawana akili hawa!!!!samatta unakila sifa ya kucheze ligi ulaya..