Mbwana Samata anavyoibeba Tp Mazembe

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Mchezeji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samata anayekipiga katika timu ya Tp Mazembe ameendelea kuwa mwiba mkali kataka ligi kuu ya Demokrasoia ya Kongo. Samata, akiingia kutokea benchi katika mechi yake ya kwanza kuichezea timu yake, alifunga goli pekee katika dakika ya 89 lililoiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya timu ya Republican Guard. Tarehe 15 july 2011, Samata pia alionesha kiwango cha juu pale alipoweza kutoa pasi mbili za mwisho zilizo zaa mabao mawili ambayo yaliiwezesha tp mazembe kuibuka na ushindi wa magoli 2 kwa o dhidi ya timu ya FC Saint Pierre.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom