Mbwana samata anavyoibeba tp Mazembe

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Mchezeji wa kimataifa wa Tanzania mbwana samata anayekipiga katika timu ya tp mazembe ameendelea kuwa mwiba mkali kataka ligi kuu ya demokrasoia ya kongo. Samata, akiingia kutokea benchi katika mechi yake ya kwanza kuichezea timu yake, alifunga goli pekee katika dakika ya 89 lililoiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya timu ya Republican Guard. Tarehe 15 july 2011 Samata pia alionesha kiwango cha juu pale alipoweza kutoa pasi mbili za mwisho zilizo zaa mabao mawili ambayo yaliiwezesha tp mazembe kuibuka na ushindi wa magoli 2 kwa o dhidi ya timu ya FC Saint Pierre.
 
Ndio maana TP Mazembe walikubali kulipa mamilioni ya pesa ili kumsajili!!!! They saw potential on him!!!!

Tiba
 
TP Mazembe wamechukua kifaa kwa Samatta na kama hata bweteka samata hana miaka miwili utamsikia ufaransa au nje ya Africa
 
Kweli nimekubali maana kila baada ya dakika mbili utasikia Mbwana Samataaaa!...:biggrin1:
 
Bado ameendelea kutisha, waulize waarabu wa zamalek na al ahly!
 
Akija team yetu ya taifa madafu hapa anazunguka tu hadi mpira unaisha!chezea kuumia wewe?
 
Guys, the boy is shining because of Tresor Mabi Mputu kule wanamwita "Mfalme Mputu",angalieni kwa makini % kubwa ya magoli yake anayoifungia TP Mazembe yanakuwa yamefanyiwa kazi na "Mabi"...na kuthibitisha hilo ndo maana akichezea team isiyo na Mputu i.e Taifa Stars Samatta ni kama John Boko Adebayor wetu tu,anyway ni mtazamo wangu tu.
 
Back
Top Bottom