...Mbwa...

WaliNazi

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
851
96
... huyu kiumbe dume humaliza vp hamu yake....
..anapomkosa jike....!!??

...jus concerned...
 
Km hakuna jike hawezi kuwa na hamu...na hata ikitokea jike likawepo ila haliko kwenye heat haliwezi kumpa mambo....
Ndio walivyoumbwa sio km wanadamu wakukosa wahaha...lol
 
Na dolphins (kiswahli chake nadhani ni bompoo). Hawa wanyama waishio baharini wana taabu kama binadamu-kufanya ngono kwa kutamaniana na sio kwa ajili ya kuzaana kama walivyo VIUMBE WOTE WENGINE aliouumba Mwenyezi Mungu.
 
Thanks hii niikuwa siijui...
 
Na dolphins (kiswahli chake nadhani ni bompoo). Hawa wanyama waishio baharini wana taabu kama binadamu-kufanya ngono kwa kutamaniana na sio kwa ajili ya kuzaana kama walivyo VIUMBE WOTE WENGINE aliouumba Mwenyezi Mungu.
Leta ushahidi wa hilo kuhusu dolphins. Dolphins wana akili kuliko wastani wa wanyama wengine lakini sidhani kama hufanya sex for pleasure kama binaadamu.
 
Back
Top Bottom