ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,972
- 1,649
Yaani tabia zao kama watu, hasa kipindi hiki cha
mvua na ubaridi utakuta wanarandaranda mitaani
wakifukuzana mitaani na kufanya vitendo
vya kuongeza uzao wao.
Utakuta wanatoka kwa wanaowafuga
wanakuja kufanya ujinga wao kwa wasiowafuga.
Hebu tushauriane tuwafanyaje hawa 'wadudu'
wakome hako katabia kao mbele ya wanetu
wadogo tena malaika wasiojua A wala B ya hii maneno.