Mbwa harusini

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Ilikuwa kuna harusi, watu wamesha chinja ngombe na wanaendelea na mambo mengine. Mbwa walionekana kutocheza mbali na eneo hilo ila watoto walikuwa hawawapi raha kwa kuwalenga mawe. Kama masihara, mama mmoja akasema "nyie hao mbwa musiwapige mawe, kuna wengine si mbwa". Mbwa mmoja akajibu "hata usiseme mwenzangu".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom