Mbwa anayeongea

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,076
Kuna rafiki yangu nilisoma naye shule ya msingi nikakutana naye jana na kuniambia ya kuwa kazi yake ni kuwafundisha wanyama mbalimbali jinsi ya kuongea na hata kupokea simu ndipo akanipa namba yake nimpigie kama siamini,ndipo nikaamua kumpigia ili kumsikia huyo huyo mbwa akiwa anaongea,lkn rafiki yangu aliniambia huyu mbwa hujibu hivi
KEYS:
WU WU=NDIO
WU WU WU=HAPANA
HA HA HA HA HA =(jinsi mbwa anavyohema)NI KUFANYA TENDO LA UUMBAJI
Basi mzee nikaruka hewani na mazungumzo yetu yakawa hivi
MIMI:hallo
MBWA:WU WU
MIMI:mzee Mcheji yupo
MBWA:WU WU
MIMI:mkewe je naye yupo?
MBWA:wu wu
MMI:Wako sebuleni?
MBWA:wu wu wu
MIMI:wako jikoni?
MBWA:wu wu wu
nikaanza kufikiria usiku huu kama hawapo maeneo hayo watakuwa wapi?nikamuuliza tena mbwa
MIMI:wako chumbani?
MBWA:wu wu
MIMI:wanafanya nini na umeme hakuna ?
MBWA:ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom