Mbuzi-watu mnahusika hapa

ELFU-ONEIR

Senior Member
Jun 27, 2012
181
64
420064_189284804537876_1181138180_n.jpg
WENYEWE WAITAGA GOMBA JE WEWE UNAITAJE?
 
Attachments

  • 292330_513339685358878_476044793_n.jpg
    292330_513339685358878_476044793_n.jpg
    13.8 KB · Views: 164
Tunatamanishana bhana hivi vitu vingine hutakiwi kuleta humu, ngoja wiki ijayo naifuata Namanga pale ipo kwa wingi
 
lakini unajua hii kitu ni haramu ha Tanzania ndugu?. Lakini kwa jirani zetu Wakenya hii ni bidhaa halali, hivyo unaweza ukavuka mpaka hatua chache upande wa kenya ukatumia, ukimaliza unarudi upande wa Tz.

Ninakumbuka mwaka jana mwezi wa 10 nilikuwa nasafiri toka Nairobi kupitia Voi to Taveta and then Himo border ili nipate kuwasabahi wazazi pale Rombo na kuonja japo kitochi cha mbege. Aisee hii kitu inayoitwa mirungi (wenzetu wakenya wanaiita miraa) abayo huku TZ imeharamishwa na kujumuisha kwenye kundi la madawa ya kulevya kwa jirani zetu Wakenya ni zao halali na ni muhimu sana kwa uchumi wa Wameru na Kenya kwa ujumla. Assessment ya haraka niliyoifanya pale Voi siku hiyo ni kwamba ni hundreds of tones za mirungi husafirishwa kila siku na it is a multi-billion bussiness kwa wenzetu Wakenya. Kuna ndege zinafanya safari ya kila siku asubuhi kusafirisha miraa toka Meru kwenda Sudan na nchi nyingine. Pia mabasi yote yanayotoka Meru kwenda maeneo mengine nchini Kenya yanajaza viroba vya vingi vya mirungi kwenye carier na hata kwenye siti kupeleka mikoa yote Kenya na nchi jirani. Kiasi flani cha mirungi pia kinaingizwa nchini Tanzania toka Kenya. Nakiri nilipanda daladala iliyojaa viroba vya miraa toka Voi kwenda Taveta maana gari zinazowahi asubuhi toka Voi kwenda Taveta ni zile zinazobeba mirungi. Kwenye gari hiyo niliyopanda (maarufu kama gari ya miraa) nilikaa kwa tabu sana maana daladala nzima ilishindiliwa viroba vya miraa isipokuwa siti za mbele pekee ambapo tulishindiliwa abiria.
 
sisi hapa mapakani Namanga upande wa Tz tunaigonga mbele yamaafande na wala haina kwele ila ukishafika maeneo kama Longido na Arusha mjini hapo utakiona cha mtemakuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom