mbunge zungu anaticha ataka mawaziri waliokopeshwa magari ya ubunge wasitumie magari wa uwaziri

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
ndoanaendelea kuchangia hoja sasa hv bungeni,pia ndonimefahamu kuwa sala la posho kwa wafanyakazi kumbe zito kaliiba kwenye mpango wa serikali wa miaka 5,pia anashauri halmashauri zipange fedha nakuwachukuwa wanafunzi wa vyuo kwamasomo ya vitendo,nani hamuungi mkoni?
 
Unaonyesha hukufeli darasani kimakosa bali ilikuwa halali yako!!Umeaandika nini heading yako? Kweli we tumaini a.k.a kibarua wa Nape!Nakushauri uirekebishe hiyo post yako!!
 
Mimi simuungi mkono anavyosema suala la posho zito aliiba kwenye mpango wa maendeleo wa miaka 5. Mpango umeandaliwa lini? Mbona zito alishawahi kulisema hilii 2007? Sema ameona hakuna lolote linalofanyika akaamua kuchukua physical action (Kuzikataa). Usiamini sana mpango wa miaka mitano, hayo ni maandishi tu, Kwani kuna mangapi yamepangwa, yakaandikwa bila action yoyote?
 
ndoanaendelea kuchangia hoja sasa hv bungeni,pia ndonimefahamu kuwa sala la posho kwa wafanyakazi kumbe zito kaliiba kwenye mpango wa serikali wa miaka 5,pia anashauri halmashauri zipange fedha nakuwachukuwa wanafunzi wa vyuo kwamasomo ya vitendo,nani hamuungi mkoni?

unataka tusubiri miaka mitano jambo linalowezekana leo??

Wote tunajua waziri mkuu alishindwa kutoka kauli kuhusiana na magari ya gharama kubwa, akabaki kulalamika tu.
Leo hii Zitto kwa kauli moja kaamua kusitisha posho yake, basi kila mtu anadandia...

Ingekuwaje kama waziri mkuu angekuwa anatoka kauli zenye maamlaka kwenye maamuzi magumu??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom