Nimepotoshaje ben? Unajua Ben tunahitaji viongozi wa wajibikaji na wewe hutoi michango kwenye thread hii ambayo najua una maslahi nayo na unatoa kauli tata.Sina shaka na uwezo wako wa kujenga hoja.We need a leadr,we need change not only Rombo but the whole nation needs change.
well spoken....vip bra? Za macku??huyo mbona tunasubiri kumpiga chini tu kama salakana? Ile ndo rombo bana,hawaangalii chama wanaangalia utendaji wa mtu.
kweli watu wa Rombo mlituangusha watu wa Vunjo kwani ile barabara ya INAYOTARAJIWA kuwekwa LAMI kutoka pale mtoni, kisambo, mwika Shimbi Mkuu Shauritanga ineisha sasa mlichokipanda hata sisi tumekosa lami mrudisheni Mramba angalau kipindi kimoja msiangalie ChamaWatu wa Rombo walikataa pesa mbili wakachagua 30 akija mwenye jina la nyingi anachukuwa Jimbo
Mkuu hapo pa kuangalia utendaji wa mtu badala ya Chama nina shaka napo. Selasini alitenda nini ukilinganisha na pesa mbili? Mkuu kwa hakika nayajua aliyoyatenda Pesambili hasa kwenye miundomsingi (miundombinu) lakini mzee wa watu akapigwa chini! Kumbuka warombo walimpiga chini mwaka 1995 wakampa salakana baadaye wakagundua Pesambili alikuwa lulu; 2000 mzee akatinga ndani ya jumba akawapa barabara za lami lukuki. Kisha akaendeleza alipokuwa miundombinu. 2010 wakampiga chini wakamchagua 30 sasa wanalia naye! Kwa utendaji na upendeleo kwa watu wa Rombo bado pesa2 hajapata mpinzani.huyo mbona tunasubiri kumpiga chini tu kama salakana? Ile ndo rombo bana,hawaangalii chama wanaangalia utendaji wa mtu.
Ben Saanane ndiye mchochezi mkubwa huko Rombo,yeye anahusika asilimia 100 kuwachochea wazee wa Rombo kujitenga!
Tarakea hawezi kufika kwa sababu Saanane anatumia vijana wa kule kuvuruga,hata madiwani wa CCM wanalalamika kwamba huyu kijana ana ajenda na jimbo la Rombo.Taarifa nilizonazo ni kuwa jamaa anajiandaa kufa na kupona kuhakikisha yeye anakuwa mbunge.hili bandiko lake hapa chini kaweka kimasiahara lakini najua ana maanisha.......Nina wasiwasi Rombo Damu itamwagika 2015 kwa kuwa huyu jamaa najua siasa zake ni za kutokubali kushindwa
Watu wa Rombo ni wapole na hakujawahi kuwa na kashikashi za kisiasa lakini namjua huyu dogo hata kampeni atakazopiga zitakuwa zimekaa kivita vita.Uchaguzi wa bavicha visu vilikua nje nje na kila uchaguzi anaoshiriki ni lazima kuwe na vurugu
Nimepotoshaje ben? Unajua Ben tunahitaji viongozi wa wajibikaji na wewe hutoi michango kwenye thread hii ambayo najua una maslahi nayo na unatoa kauli tata.Sina shaka na uwezo wako wa kujenga hoja.We need a leadr,we need change not only Rombo but the whole nation needs change.
Vita endelefu ndani ya nji hii!Kweli mkuu hii vita ni endelefu
Namfahamu mtu wa karibu na joseph nitamtuma akamwambie ili selasini aje ajibu hizi hoja. Jamani siyo selasini peke yake wapo wengi. CDM wasipoangalia wataishia kuwa kama NCCR ya 1995 na ile ya 2000! Wabunge wajipange kutekeleza ahadi na kuibana serikali ipeleke maendeleo haya mambo ya kwenda ikulu kila kukicha wakumbuke siku hazigandi!Kwani selasini huwa huingii humu ujibu hizi hoja? Ama kama kuna anaemjua amjulishe pls maana hatutaki 2015 cdm impoteze bungeni
Sasa mkuu umefanya utafiti gani hadi ukajua huyu mama masikini atapita 2015? Sidhani kama rombo ni jimbo rahisi namna hiyo.....all in all uchaguzi ujao t wil be a cut throat competition to both sides.....tooth and nail just mark my words!
kampiga mkewe chini kapata kimada mwingine rombo ndiyo maana haonekani!Usimsingizie kwani hata haeleweki yupo yupo tu mpaka sasa ananipa wasiwasi maana warombo watakuja kumpiga chini mpaka yeye mwenyewe hatoamini
Ben kuna thread ya kumhusu selasini niliituma about two weeks ago and ua respönse to it was so mavelous! That make me to smell a rat!...anyway bro ben naifaham rombo vizur xo tangaza nia bra im in ful support to u both materially and morally! As i always say the early bird catches the worm!!
Mkuu kwani hili nalo linahitaji uchunguzi? Sababu mojawapo inaweza kuwa ni mwanamke. 2015 kuanzia Rais, Spika, mpaka wabunge watakuwa ni wanawake. Kuna watu itawalazimu kubadili jinsia. LOL. Inaonekama Warombo walikuwa wamemchoka Mramba. Na kwa vile walikuwa hawana alternative nyingine labda ndio wakamchagua Selasini.
Whether or not uchaguzi ujao will be "a cut throat competition to both sides", itategemea Chadema watamsimamisha nani. Kama wakimsimamisha tena Selasini, inaweza kuwa mteremko kwa CCM. Na kwa vile Ben amesema ni "mapema mno", then Chadema wana nani ambaye ni influential kwenye lile jimbo? Wananchi wa mwaka 2015 watakuwa sio wale wa 2010.