Mbunge wetu wa Mvomero (Amos Makalla) vipi?

mvomero

Member
Jan 23, 2012
5
0
Kwa kifupi toka amekuwa mbunge huyu jamaa(Amos Makalla)hakuna kinachoendelea katika jimbo hili project ya barabara ya lami magole-Turiani inasusua,yaani kwa kifupi wananchi tunamkumbuka sana mwarabu Sadiq Murad.Tunaomba ajitambue, ajitathimini na kisha achukue maamuzi mepesi ya kujiuzuru.
 
nenda pale sinza kwa remy kuna night club mpya habanduki pale na mishavu iliyovimbiwa
 
Mbunge anapewa bajeti ya kutengeneza barabara tangu lini, lawama kwa waziri wa ujenzi na Mkurugenzi wenu! Tofautisha majukumu na uwezo wa mbunge na waziri na mkurugenzi
 
Kwa kifupi toka amekuwa mbunge huyu jamaa(Amos Makalla)hakuna kinachoendelea katika jimbo hili project ya barabara ya lami magole-Turiani inasusua,yaani kwa kifupi wananchi tunamkumbuka sana mwarabu Sadiq Murad.Tunaomba ajitambue, ajitathimini na kisha achukue maamuzi mepesi ya kujiuzuru.

Hivi nyie watu wa Mvomero mnamatatizo gani? Hakuna mzawa yoyote anayeweza kuwaletea maendeleo hadi awe Mwarabu? Hembu fungukeni bana mnatia aibu na akili zenu za kitumwa.
 
Back
Top Bottom