Mbunge wa Zamani HAI afiwa na Baba Yake

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,986
2,768
Kwa wana HAI wote hasa wa Masama Mula Mwl Godwin Kimbita amefariki dunia hapa Dar Msiba upo kwa Mh Fuya aka Mbunge wetu wa Zamani Ununio Marehemu ataagwa Kesho Jumapili kwenda Masama kwa Maziko. Kwa tunaomfahamu Marehemu alikuwa Baba na Mwalimu wetu wa Enzi ya Nyerere. Pole Familia na RIP Baba
 
sis wa machame mkuu hatuji kwa sababu hakuleta mabadiliko yoyote wakati ule zaidi ya Uccm
 
Awali ya yote poleni wafiwa. Kwa upande mwingine, hivi kila mtu akiamua kuleta habari kama hizi humu jamvini sijui itakuwaje! Sidhani kama "baba wa mbunge wa zamani" kufariki ni habari ambayo umma wa jamvi hili unapaswa kujulishwa; it's more or less family matters!
 
Sawa Dudus Nimekuelewa ni kupeana taarifa tu hasa kwa walioko mbali Mzee alikuwa Mwalimu na Kiongozi si Vibaya wanaHAI Wote wakajua ili tukampe Last Respect Mzee wetu
 
Back
Top Bottom