Elections 2010 Mbunge wa vitendo si maneno

lembeni

Member
Sep 8, 2010
31
1
Kama haongei anashiriki vipi majukumu ya bunge ya kutunga sheria?
 

Attachments

  • IMG_1780.jpg
    IMG_1780.jpg
    135.9 KB · Views: 22
Ni ngumu sn mtu kuongea akijua majibu au maswali yatakayofuata baada ya hayo, wale wotr=e wenye kashifa wanagugumi katia kuongea lkn kweli elimu ya bure inawezekana kabisa ila uchumi wameukalia wahindi na wa.....bu koko, na ssiem wametuuza kwa ten per cent, wamefukuza wawekezaji wa kweli wa bonde la mpunga mbalali kwa ten percent jamani yatupasa tusikubali upiganie haki yetu na watu wetu waliokijijini ambao hawajui wafanye nini,
 
Back
Top Bottom